CCM: Yazidi kupiga hatua ktk kampeni zake

CCM: Yazidi kupiga hatua ktk kampeni zake

CCM oyeeeeeeee! Kidumu Chama Cha Mapinduzi, Kigumu kutoka madarakani. Kigumu kweli!
 
CCM bila nguvu ya dola yaan bila Polisi, bila kubebwa na Tume isiyo huru, bila wizi wa kura ni wepesi sanaaa kuliko unyoya wa kinda LA ndege...Sababu hawana Hoja, hawana ushawishi, wamepoteza mvuto japo sasa wanalazimisha kukubalika kwa nguvu, hawana Dira kama Chama zaidi ya kusikiliza mawazo na Matakwa ya Mtu mmoja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom