gwaydamuy
New Member
- Oct 20, 2019
- 1
- 2
Katika pita pita yangu kwenye vijiji kadhaa na kwenye makazi ya watu nimesikia wanachi wakizunguza kuwa chama cha mapinduzi hakina mpinzani hata kwenye ngazi ya vijiji kwa kuwa wamepata kile wanachokihitaji, chama kinacho wasikiliza watu,kwasababu viongozi wamepewa maelekezo namna ya kuwasaidia wanyonge, kuwatetea wananchi pale wanaponyanyaswa na wenye nguvu ya pesa, hakika sasa wanadamu wote ni sawa mbele ya utawala huu wa awamu ya tano
CCM hoyeee,
Ni maelezo ya watu jamani, siyo yangu
CCM hoyeee,
Ni maelezo ya watu jamani, siyo yangu