CCM yazidi kuchanja Mbuga

CCM yazidi kuchanja Mbuga

Denge Boy

Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Wakati Chadema wakijidhatiti katika kuporomosha matusi makubwa makubwa na kueneza propaganda kama walivyotumwa na wadhamini wao, CCM (Chama Dume) inazidi kuchanja mbuga na kujiimarisha mijini na vijijini.
 

Attachments

  • 7.jpg
    7.jpg
    58.6 KB · Views: 147
  • 1.jpg
    1.jpg
    44.7 KB · Views: 110
ccm walikuwa wamejiimarisha sana vijijini. Hata hivyo baada ya kupotea kutoka kwenye malengo ya chama na kukumbatia ufisadi, watu wengi sana wamekosa imani na chama hicho. Hizo jitihada tunazoziona sasa za viongozi wa ngazi za juu kwenda vijijini ni changamoto kutoka kwa CDM. Hizo mbuga wanazozikata sasa zimechelewa sana, badala ya mbio hizo kukipeleka kwa wananchi, zinazidi kukipeleka kuwa chama cha upinzani.
 
Kila la kheri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Baada ya miaka haamsini sasa ndiyo kinaanza kampeni y kukitangaza chama kwa vitendo?miaka yote 40+ walikuwa wanasafisha mapori yetu kwa kupunguza wanyama waharibifu kama Tembo na faru,pia wakiomba misaada ya kujitafunia bata na familia zao,kweli chama makini,namini wanakwendaa na muda barabara,sasa wameshashiba,ndiyo wanakumbuka maskini wenye njaa waliopigania ustawi wa nchi hii bila mfanikio,mmeona tonge linadondok sasa ndiyo munawahi kulidakia chini
 
...chanjeni tu mbuga ila msimalize tembo wetu huko mbugani tafadhali...
 
namuona hapo kinana lager,hizo tembo zitakwisha
 
Cdm kila kukicha kinadidimia nccr changamkeni mna nafasi nzuri zaidi
 
Miaka yote 50 badala ya kuchanja lami still mnachanja mbuga tu? huko mliko na cdm wapo siku hizi,kazi kwenu
 
Back
Top Bottom