CCM yazidi kuangukia pua Arusha

CCM yazidi kuangukia pua Arusha

Uchaguzi mdogo wa mwenyekiti wa kitongoji cha Nkoanasar kata ya songoro Arumeru Mashariki.
Chadema kura 64
CCM kura 07.

Jumla ya kura zote 71

Pamoja na mabomu yote wanayopiga kuua raia bado wanagaragazwa? Sumu hii ikienea kote nchini watapotea kama KANU na UNIP!
 
Khaa!! Huko si ndiyo idadi kubwa ya vijana wameathirika na viroba?? Ngoja watibiwe wakipata nafuu ulevi ukiisha watajitambua tu

Sembe ya mtoto wa mfalme imekuharibu? Sura mbayaaa (avatar) kama unakamuliwa majipu!
 
Peoplessssssssss. Tuleteeni hiyo nguvu na mikoani kwetu. Natamani solidarity ya Arusha.
 
arusha sisi tunajitambua nyinyi endeleerni mashetani wenu wa ccm
 
Huo moto wa Arusha, Mwanza na Mbeya kidogo kidogo unasambaa muda si mrefu utafika kote. Kwa Dar sio kwamba CDM haina nguvu bali tume ya uchaguzi inatumika kugandamiza matakwa ya wapiga kura. Tangia kipindi kile cha uchaguzi wa 1995 ambako majimbo yote ya Dar yalichukuliwa na NCCR na CCM kutangaza kufuta uchaguzi kwa mkoa wa Dar Es Salaam, hakuna mbunge hata mmoja wa CCM amewahi kushinda kihalali. Ni yale yale ya Mbunge wa Ukonga kukamatwa na msanduku ya kura na bado akatangazwa mshindi.

Time will tell.

Tiba
 
Kwa kasi hii ya vijana kujihusisha na mikutano ya vijiji hapa Meru, Nassari 2015 atapata ushindi wa mafuriko. ccm hawana chao tena hapa meru. Wiki iliyopita mkutano wa kijiji cha urisho ulivinjika na watu wakamzomea mwenyekiti baada ya vijana wa cdm kuhoji mambo kadhaa yaliyokosa majibu. Chadema ndio habari ya Arusha
 
Nawapa pole watani zangu CCM .Hili ni pigo takatifu, piga lenye maki na inkosikazi na bado
 
Kwa kasi hii ya vijana kujihusisha na mikutano ya vijiji hapa Meru, Nassari 2015 atapata ushindi wa mafuriko. ccm hawana chao tena hapa meru. Wiki iliyopita mkutano wa kijiji cha urisho ulivinjika na watu wakamzomea mwenyekiti baada ya vijana wa cdm kuhoji mambo kadhaa yaliyokosa majibu. Chadema ndio habari ya Arusha

Hii ni habari mbaya kwetu sisi makada wa ccm, ni habari mbaya kwa tawi letu la ACT duh! Dawa ni kukimbia na sanduku tu
 
Back
Top Bottom