CCM yawataka Wawakilishi wake kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara

😍
 
CCM hainaga kuishiwa. Wapinzani msipokubali CCM ni imara na mkakubali kujifunza kwanini wako imara hamna vile mnaweza kuwashinda



Vyama vingine wana la kujifunza
 
HAPANA HUELEWI HII CHAIN OF COMAND,

kila ngazi inaumuhimu wake ndio maana Rais akienda mkoa wowote kuna kero atapewa na wananchi,
Kwanini wanampa wanaamini katika mamlaka aliyonayo,

Ndio hivyo kwa RC, DC na wengine,
Ni kweli lakini kama viongozi wanaoshinda na wananchi hawawezi kupokea na kuziwasilisha hizo kero ngazi ya juu na inatakiwa ngazi ya juu ishuke kusikiliza kero unaona ni sahihi?
 
Mama D nakuelewa sana yaani,

Wakati kwa wengine chama ni kazi kama ajira tena yenye ujira kwa wachache, Kwa wanaCCM chama ni imani kama ilivyo dini kila muumini ana haki yake humo

Hiki chama kilijengwa kwenye misingi imara kwelikweli
 
Ni sawa! Lakini nasikitika kuwambieni nyinyi Viongozi wa Ccm hawa wabunge, madiwani na Wenyeviti wa vitongoji waliopita bila kuchaguliwa ni ngumu kuelewa hilo. Wako bize wakijiandaa na uchaguzi mwingine ndani ya ccm
 
Nachelea kusema hujui shunghuli za mikutano na faida zake.
 
Nachelea kusema hujui shunghuli za mikutano na faida zake.
Hehehe kutafutana uchawi au siyo?

Hebu taja mikutano minne iliyoitishwa na RC au DC au PM kisha wananchi wakataja kero zao halafu kero zikatatuliwa.
 


Piga kazi, kazi iendelee
 
Wakati wapinzani wapo haikuwa ni ruhusa hiyo ngoja ninyamaze
BAWACHA wamezuiliwa kufanya jogging Kuna covid ila mikutano yao ruhusa
 
Hehehe kutafutana uchawi au siyo?

Hebu taja mikutano minne iliyoitishwa na RC au DC au PM kisha wananchi wakataja kero zao halafu kero zikatatuliwa.
Tanzania ni kubwa mkuu huku kwetu enzi ya Magufuli walikuwa wakitatua. Uongozi ni kipawa kuna kiongozi mmoja yupo mitandaoni sana Antony mtaka ni kioo cha viongozi wanaotambua wajibu wao
 
Hawamwogopi Kamnda Siro na jeshi lake ? Au ndio zarau waswahili tunamsemo wamemtia mkobani.
 
Piga kazi kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…