CCM yawataka Maaskofu wavue majoho...

Kauli yake ni kama msimamo wa CCM, mbona hawakanushi
 
Viongozi wa dini ni sehemu ya jamii na Sanyo haki ya kusema lolote kama watu wengine
 
Hivi mume wake ndio nani hapo kwenye safu ya juu ya CCM kiasi cha kutuletea maafa hivi huyu mama, kweli anajisikiaje hivi sasa na damu hizi kwenye blausi yake?

Sophia Simba ndie mumewe, kwani anafuata nyayo za Sophia simba za kiburi

 

Ok I can see your point but I fail to undestand it nikuulize kama CCM wamechakachua kwanini Chadema wasiende mahakamani? Na Mary amefanya lipi ambalo limesababisha raia wasio hatia kufa? I am lost but I do not see any logical reasoning hapa huu ushabiki usiofaa kukubalika katika jamii yetu. Hebu fafanua zaidi mkuu.
 

Unajua sheria inasemaje kuhusu hilo? Na je unajua Tanzania kesi ya kawaida inachukua muda gani kumalizika? Mary Chitanda amesikia alichosema Shamsa(I) vuai? Kuna sababu gani ya kukaa meza moja kama msimamo wa ccm ni kwamba cdm waende mahakamani? Viongozi kama hawa ndio hatuwataki! Fikra zao ni za kipuuzi sana mpaka inakera anawezaje kuwa katika nafasi hiyo!!
 
CCM wamemtuma na ndo maana wamekaa kimya na kukubaliana na alichosema. Kwa maana nyingine bado CCM wanaona meya amechaguliwa kihalali ila wajue watu hawaogopi tena kwani kama kufa wamekufa na kama wanataka kuua wengine waendelee kungangania umeya.Vita hapa Ar ndo imeanza na tunasubiri tusikie hekima za CCM kubatilisha uchaguzi na kama wanataka kuendelea kufanya usanii kilichotokea tarehe 5 Januari 2011 kitakuwa cha mtoto. Gaudence Lyimo lazima aondoke siyo chaguo la wana Arusha na hilo aelewwe kama hataki ajue mauaji yakitokea tena naye hatanusurika.
 

You're lost YES that is why you're Lost in whatever you contribute. We have to find you before we elaborate anything to make your nonsense comments sensible.

Nyani haoni kundule na hilo ndo tatizo lako na we dont have time in this forum to urge with stubborns
 
Binafsi namuonea huruma sana, hivi hajiulizi wako wapi akina Hawa Ngulume, na wengine? hajifunzi toka kwa Tido? atakua mgeni wa nani keshokutwa? CCM si chama cha kukimbilia, ni genge la majambazi, yeye anakubali kutumiwa kama ile inayokaa kwenye pakiti, na ikiisha tumika haikumbukwi tena na watumiaji huona hata kinyaa kuigusa, ndio yatakayompata! tupo hapa tutaona, damu zile zitamwandama, sijui kama anandoa huyu cha...gu!
 
Elli, unajua kuna watu wanajiona wako salama sana! Wanasahau kwamba umasikini uliokithiri ni hatari hata kwa wale wenye maisha bora! Sasa hivi mtu giza likiingia vioo juu na milango ya gari uweke lock!

Sasa jiulize watoto wetu wako salama kiasi gani! Yeye haoni anaona kwamba ndio kafika na tabu za watanzania hazimuhusu!! Ila safari hii ameingia choo cha kiume!
 
You never know the culprit could be talking in underware point of view, where one is caught with verve of wanting to be done by a hard rode once more from a familiar doer!
 



Leo pia nimemsikia channel ten KWENYE HABARI akisema "maaskofu kumtambua au kutomtambua meya haiwaumiza kichwa kwa sababu maaskofu hawana madiwani kama vyama vya siasa. THIS IS RIDICULOUS IDEA.
 
Sisiem bado wanaish katika ndoto. Wanadhan watatutawala kimabavu.
Mary hana tofauti na Sofia Simba, Celina Kombani, Meghiji n.k. Wanawake wa sisiem wengi vichwa maji
 
CCM has to be warned that they must think long and hard about their next democratic appointment after the failure of arusha mayoral hotseat! They must be taught to consider fairness as the coolest experience of democracy!
 

sijui kama unaishi arusha au unafahamu nini kinaendelea arusha. wananchi wengi hapa wana hasira na uhuni waliofanya ccm kumsimika huyo meya. na kwa mtu yeyote mwenye bongo nzuri anashindwa kuelewa ni kwanini vyombo vya usalama vilishindwa waonya watawala huko dsm wachukue hatua za haraka kabla ya maafa ya juzi. hasira za wananchi zimezidi kuogezeka baada ya mauaji ya juzi yaliyofanywa na polisi. mtu kama mary chatanda simfahamu,lakini kwa jina la mary atakua ni mkristo. nadhani viongozi wake wake wa kiroho wameshindwa kazi yao. ushauri wangu kwa ccm kama bado inapenda kupata kura arusha ni kumtimua huyo mama. uwepo wake arusha ni dharau kwa wananchi wa hapa.
 

Stop all this arrogance, sijui una kpy na ku paste upuuzi wa kadogoo, na ww, wote CCM, so ignorance is u r best friend, & mtaji wenu
mpuuzi weee
 
CCM bwana ni wanafiki sana Serikali ikisifiwa kwenye jambo fulani inahusisha hilo jambo na CCM lakini wakiboronga hawataki waguswe sasa wajue this time ni PAIN IN THE ASS
 
2015 tutahakikisha tumeondoa chembe chembe zote za ccm mkoani Arusha. CCM wakitake wakatawale huko bumbuli kwa wenye akili kama zao
 
Mary Chitanda awaombe radhi maaskofu haraka. La sivyo, laana itamwandama.
 

You talk nonsense na rubbish!!! Nikuulize Pope au Archbishop of Cantebury ushawasikia hawamtambui rais au kiongozi yeyote nchini mwao?? Belusconi ni fisadi ile mbaya ushamwona cardinal wa italy amesema hamtambui?? Wakati wa MPs expense scandal ulimsikia Archbishop yeyote ametoa tamko? Kweli nyani haoni kundule endeleeni na tabia zenu lakini hii nchi si ya wakristo hivyo wewe na malecela na wenzenu mwaambie maaskofu wakome kutuamulia vitu hatutaki wakitaka waingie katika siasa otherwise wakae kimya. Venginevyo watayala maneno yao pakichafuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…