Zinaweza kuzidi milion 500
si katibu mkuu makamba (enzi hizo) aliwataka wafungue kesi dhidi ya cdm na chama kitawalipia? Kweli ccm si watu...wamewaingiza kingi kisha wanawaruka!
He is absolute right!
WASHTAKI WOTE HAWA 3 hawana nguvu za kiuchumi kupata ada ya zaidi ya tsh MILLION 15 ZINAZOTAKIWA KULIPWA MAHAKAMA KUU kwenye kesi za uchaguzi!Ni dhahiri hela hizo za kufungulia kesi walipewa na CCM!
Hawa walitumwa tu na inavyoijua CCM watawaruka kuwa HAWAKUWATUMA!CHADEMA mdai hela zenu zote na wakishindwa wafungeni jela ili liwe fundisho kwa mtu kuingilia kesi zisizomhusu!
Haki yako ya kupiga na kupigiwa kura HAZIKUVUNJWA unaenda kufungua kesi ya nini?Jina lako lilikuwepo kwenye ballot?Ulitukanwa na Lema directly kwenye mikutano yake?CHADEMA funga hawa jamaa!
Nafikiri uliyeleta hii thread uliyoyaandika siyo yale aliyoyasema, na kama amesema basi ulimi wake umeteleza.
Mh. Tindu Lissu hana mamlaka yoyote kisheria kuwafunga watu jela. Hii ni kazi ya Mahakama. tusipotoshe umma.
Sii mpaka wawe na hizo nyumba? Mkuu hukumsikia Lissu alivyosema kuwa hata nauli za kuwapeleka Dar kusikiliza rufaa wanaonyesha walikopa?sasa wataijua CCM ni dude gani. Makamanda wakiwaeleza CCM ni nini watu wanajifanya viziwi ngoja waelewe kwa vitendoSafi sanaaaaaa lazima sasa wakanadiwe nyumba zao hao washenzi
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.
Acha kuleta tafsiri za watoto!
Hivi mtu akikwambia ntakuweka gerezani unaelewaje? Au unaleta viduku kwenye mambo ya maana?
H
Daaaa nimecheka sana, CCM kweli majangili
Nafikiri uliyeleta hii thread uliyoyaandika siyo yale aliyoyasema, na kama amesema basi ulimi wake umeteleza.
Mh. Tindu Lissu hana mamlaka yoyote kisheria kuwafunga watu jela. Hii ni kazi ya Mahakama. tusipotoshe umma.
Katika sheria zetu, mtu anaposhindwa kutekeleza hukumu ya faini basi hukumu ya kifungo huchukua mkondo wake moja kwa moja; kwa hiyo jamaa wakishindwa kulipa faini hiyo basi ina maana kifungo kitawafuata. Tatizo sasa ni urefu wa kifungo huko jela: inawezekana wakafungwa miaka 10 au wiki mbili, vyote ni vifungo tu. Muda huo ukifika, mahakama itaamua wakae jela miaka mingapi.
Mama ntilie atatoa wapi mil400?tusubiri muvi mpya,siri zote zitafichuliwa