Itatusaidia kupunguza chaguzi ndogohahahaha..yani hii itawaogopesha watu kufungua kesi zisizokuwa na miguu wala kichwa
Hivi gharama za kesi zinafika kias gn?
hahahaha..yani hii itawaogopesha watu kufungua kesi zisizokuwa na miguu wala kichwa
Hawana --ya kulipa? Huu mwaka wao,watajibeba!Wengine ni Agness Moleli na Happy Kivuyo. Kwajins ninavyo wajua ni watu watabaka la chini sana hawana mavi ya kulipa. Nadhani wataanika yote kuwa ninani aliwashurutisha
Hivi gharama za kesi zinafika kias gn?
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.