CCM yawaita watanzania ni VIBAKA?

CCM yawaita watanzania ni VIBAKA?

Hili gazeti ni ofisi kadhaa za serikali wanalazimishwa walinunue....wenye akili timamu hawawezi kupoteza pesa yao kulinunua au kulisoma
 
attachment.php
 
CCM Wamewadharau sana wananchi! unawaitaje vibaka wananchi waliokata tamaa?
 
Acha waendelee kuwatia wananchi hasira ndio watajua kama ni vibaka ama la hapo octoba 25
 
Back
Top Bottom