Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,705
- 5,316
Hii ni dharau kwa vijana waliopigika
Mkuu usishangae kusikia kejeli mbalix2 toka kwa ccm ukitaka kujua mtu asiyekubalika hata lugha yao imefarakana.
Katibu mkuu wao amewaita walioshindwa katika chaguzi zao makapi, waliomsindikiza Lowasa wamewaita vibaka na gazeti lao la udaku (Uhuru).......wasubiri October waone hasira za WATZ......