Rayman ProphetMcRay
Senior Member
- Dec 8, 2012
- 179
- 21
Haya bhana ubishi wa nn? Bac tunakubal mamia ya wanachama wa chadema wamehamia ccm.. maswal kuntu vp kuhusu matatizo ya wananch nayo yamehama kama sio kwisha kabisa, vp kuhusu ubovu wa barabara ya mkalama njia ya kuelekea hosp ya hydom{kule ulipopelekwa Ray C} umeisha au bado? Vp kuhusu shida ya maji mkoa wa singida? Vp kuhusu uhaba wa madawati,majengo ya shule, ukosefu wa mahabara, na ukosefu wa walimu na matatizo meng? Swl lng haya matatizo bado yapo au na matatizo yamehama kama wanachama wa chadema walivyofanya? Vijana achen ulimbuken ni mda wa kuamka sasa na kutupa shuka ccm hana tofaut na mkoloni....