Msindai hana nguvu ya kusambaratisha CDM, sema wanatengeneza stori kukuza mambo ili wakubwa wa magamba ajue anakubalika Mkalama kwa vile CCM walimpiga chini kwamba amefulia kisiasa, hii yote harakati za kujiandaa kuteuliwa 2015, ndio wanatengeneza story kwenye magazeti ionekane ana nguvu, hamna lolote, idadi yenyewe ya hao wanachama wa CDM wanaotajwa huko mkalama haijawahi fika toka kuanzishwa kwa vyama vingi, sisi wengine ni wa huko we know in and out ya siasa za maeneo hayo.