CCM yateua Wagombea Ubunge: Monko Joseph(Singida Kaskazini), Damas Ndumbaro(Songea Mjini) na Stephen Kiruswa (Longido)

Nchimbi ni barozi anaiwakilsha nchi, kama sikosei ni Brazil
 


Nchimbi aliye gombea na kushinda ni John na sio Emmanuel
 
Nchimbi ni balozi huko Braziliniii
 
Upinzani wa ndani ya chama ni mtamu! Wakimaliza manunuzi nje, yataendelea ndani hahahahah viwanda vya manunuzi
 
Chama cha demokrasia kipo si uende!?!!! Kile ni chama cha mapinduzi, vipi hujui kusoma au??? Mkiguswa sehemu zenu si kupiga kelele huko, tulieni wanaume wamalize haja
 
Mtoa post, wewe kama ni CCM hauko vizuri ktk kufuatilia chama chako na matukio yake. Nchimbi anayezungumziwa hapa si huyo unayedai alisamehewa. Nchimbi aliyesamehewa ni yule ambaye kwa sasa ni balozi huko Brazil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…