CCM yashinda Ubunge majimbo ya Songea Mjini na Singida Kaskazini

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,907
1,009
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kiti cha Ubunge katika jimbo la Singida Kaskazini Mkoa wa Singida baada ya mgombea wake, Monko Justine kupata kura 20857 na kuwazidi wagombea wengine 4, aliyemfuatia ni Mgombea wa CUF mwenye kura 974

Pia CCM imeshinda kiti cha Ubunge katika jimbo la Songea Mjini Mkoa wa Ruvuma baada ya mgombea wake, Dr Damas Ndumbaro kupata kura 45762 na kuwazidi wagombea wengine 7, aliyemfuatia ni Mgombea wa CUF mwenye kura 608.
 
b8a75e1ce0aa80250d495cd599cc32f3.jpg
 
Ni ushindi Wa kishindo CCM Songea mjini. Matokeo rasmi yametangazwa na mkurugenzi Wa uchaguzi jimbo LA Songea mjini ambapo Dr Ndumbaro Wa CCM ameongoza kwa kupata kura 45162 sawa na 97% akifuatiwa kwa mbali na mgombea Wa CUF aliyepata kura 608.
Safi sana. Yaache machadema yaendelee kususia uchaguzi 2019 na 2020. Yamebaki kuongea kizungu cha ugoko na kumsujudia Trump huku yakisahau kukarabati jengo la ufipa. Kwisha kazi yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom