CCM yateua Wagombea Ubunge: Monko Joseph(Singida Kaskazini), Damas Ndumbaro(Songea Mjini) na Stephen Kiruswa (Longido)

Kwa kweli mwaka wao huu,hapa hutaona hata mgalatia mmoja akizungumzia udini ngoja ashike mwingine sasa
Pengo roho kwatu kabisa, anamwaga mibaraka tu.

magufuli+baraka.jpg
 
Sasa udini uko wapi hapo wewe mgalatia?
Una uhakika kwamba mimi ni Mgalatia au umekariri kama ulivyokariri kwamba uteuzi umeangalia dini ya mtu kwa sababu tu umeona wagombea wote wanatoka dini moja?!
 
Sisemi halipo na ndio maana nika-conclude "bila sababu ya msingi!" Si kila penye watu wa dini moja hapo kuna udini vinginevyo itakuwa yale yale ya akina Edwin Mtei kulalamika kwamba eti Wajumbe wa Tume ya Katiba wengi ni Waislamu huku ikifahamika vema kwamba majority ya Wazanzibari ni Waislamu na matokeo yake ikapelekea ku-outweigh hata idadi wa Wakristo walioteuliwa kutoka bara!

Btw, hivi kuna Waislamu wangapi miongoni mwa possible candidates huko Longido?! Vp kuhusu Songea au hata huko Singida?!
Tangu Rais Mkatoliki Magufuli ameingia madarakani, kanisa katoliki limeshatowa waraka wowote wa kichungaji?

Nadeclare interest mimi ni mkatoliki tena wa ndani kabisa i know this church very much.
 
Tangu Rais Mkatoliki Magufuli ameingia madarakani, kanisa katoliki limeshatowa waraka wowote wa kichungaji?

Nadeclare interest mimi ni mkatoliki tena wa ndani kabisa i know this church very much.
Narudia... hoja ni kuingiza udini bila sababu za msingi! Nimeanza kuangalia mazingira ya huko uchaguzi unakofanyika! Hivi kuna Waislamu wangapi huko Umasaini au huko kwa Wengine?! Binafsi, tangu nianze kufuatilia siasa za nchi hii, sijawahi kusikia mbunge yeyote Mwislamu kutoka Umasaini au hata huko Ruvuma (excluding Tunduru) kama ambavyo sijawahi kusikia mbunge Mkristo kutoka Pemba au Zanzibar ukiondoa few exceptions za akina Isaac Sepetu ambae hata hivyo I'm not sure kama aliendelea na Ukristo wake!!

Hilo la Waraka wa Kanisa Katoliki hata mimi juzi nimezungumzia hapa wakati Pengo aliposema maoni ya yule Askofu ni maoni yake binafsi na suala la Katiba ya Mpya sio priority ya kanisa!!

Ndipo nikaweka Clause #2 ya ule waraka ambao moja kwa moja umezungumzia suala la wananchi kutaka katiba mpya!!! Ndipo nikahoji, ina maana Baba Askofu leo hii anaukana huu waraka?!
 
Mgalatia hajifichi.
Kwani ni aibu au jinai kuwa Mgalatia?Lemme tell you something... sijawahi kuonea aibu dini yangu wala asili yangu na kwa watu wanaonifahamu vizuri kupitia JF, wanafahamu imani yangu na asili yangu pia!
 
Kamati Kuu ya CCM imeteua wagombea ubunge katika majimbo matatu kama ifuatavyo; Monko Joseph (Singida Kaskazini), Damas Ndumbaro (Songea Mjini) na Stephen Kiruswa (Longido).

View attachment 651911

My Take;

Rais alisema sasa ni muda wa kazi tu. Nchimbi, Kimbisa na Sophia Simba mlisema mumewasamehe.

Kama tunavyojua Nchimbi ndo alishinda Kura za Maoni. Kwanini mumekata jina lake. CCM acheni kulipiza visasi.

Uchaguzi ushaisha na sote tunajenga nchi moja.

Hili swala limenisikitisha sababu si la kozalendo. CCM ubaguzi wenu hautawaacha salama.

Pale Dodoma Mlitangaza kwamba mumewasamehe wote waliomuunga mkono Lowassa, na Nchimbi alitubu hadi akakaribishwa Ikulu.

Kama ndivyo Nape Nnauye, Hussein Bashe wajiandae Kisaikolojoa 2020. Hawatapita sababu ya kuongea ukweli na kwenda kinyume na CCM.

Bashe alilalamika bungeni kwamba watu wasiojulikana wanamfuatilia.

Nakumbuka Bashe na Msukuma waliwekwa Korokoroni kisa wanahoji pale CCM inapokosea.

Hii mbaya sana kuongoza kwa visasi.
Acha kulisha watu watangopori aliyeshinda Songea alikuwa ni John John Nchimbi na sio Balozi Dr Emmanuel Nchimbi ,

Acheni uzwazwa na kupotosha umma nyie wakosa mwelekeo
 
Kwani ni aibu au jinai kuwa Mgalatia?Lemme tell you something... sijawahi kuonea aibu dini yangu wala asili yangu na kwa watu wanaonifahamu vizuri kupitia JF, wanafahamu imani yangu na asili yangu pia!

Sasa mbona unajishtukia ewe mgalatia. Maelezo marefu kama upo kwenye interview..
 
Kamati Kuu ya CCM imeteua wagombea ubunge katika majimbo matatu kama ifuatavyo; Monko Joseph (Singida Kaskazini), Damas Ndumbaro (Songea Mjini) na Stephen Kiruswa (Longido).

View attachment 651911

My Take;

Rais alisema sasa ni muda wa kazi tu. Nchimbi, Kimbisa na Sophia Simba mlisema mumewasamehe.

Kama tunavyojua Nchimbi ndo alishinda Kura za Maoni. Kwanini mumekata jina lake. CCM acheni kulipiza visasi.

Uchaguzi ushaisha na sote tunajenga nchi moja.

Hili swala limenisikitisha sababu si la kizalendo. CCM ubaguzi wenu hautawaacha salama.

Pale Dodoma Mlitangaza kwamba mumewasamehe wote waliomuunga mkono Lowassa, na Nchimbi alitubu hadi akakaribishwa Ikulu.

Kama ndivyo Nape Nnauye, Hussein Bashe wajiandae Kisaikolojoa 2020. Hawatapita sababu ya kuongea ukweli na kwenda kinyume na CCM.

Bashe alilalamika bungeni kwamba watu wasiojulikana wanamfuatilia.

Nakumbuka Bashe na Msukuma waliwekwa Korokoroni kisa wanahoji pale CCM inapokosea.

Hii mbaya sana kuongoza kwa visasi.
Chama ha kidiketa ambapo wanachama wakihoji wanashambuliwa ccm nichama cha mafisadi ukitoka ndani ya ccm unakuwa an enemy of the people!
 
Back
Top Bottom