CCM yateua Wagombea Ubunge: Monko Joseph(Singida Kaskazini), Damas Ndumbaro(Songea Mjini) na Stephen Kiruswa (Longido)

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,703
2,000
Kamati Kuu ya CCM imeteua wagombea ubunge katika majimbo matatu kama ifuatavyo; Monko Joseph (Singida Kaskazini), Damas Ndumbaro (Songea Mjini) na Stephen Kiruswa (Longido).

IMG-20171215-WA0065.jpgMy Take;

Rais alisema sasa ni muda wa kazi tu. Nchimbi, Kimbisa na Sophia Simba mlisema mumewasamehe.

Kama tunavyojua Nchimbi ndo alishinda Kura za Maoni. Kwanini mumekata jina lake. CCM acheni kulipiza visasi.

Uchaguzi ushaisha na sote tunajenga nchi moja.

Hili swala limenisikitisha sababu si la kizalendo. CCM ubaguzi wenu hautawaacha salama.

Pale Dodoma Mlitangaza kwamba mumewasamehe wote waliomuunga mkono Lowassa, na Nchimbi alitubu hadi akakaribishwa Ikulu.

Kama ndivyo Nape Nnauye, Hussein Bashe wajiandae Kisaikolojoa 2020. Hawatapita sababu ya kuongea ukweli na kwenda kinyume na CCM.

Bashe alilalamika bungeni kwamba watu wasiojulikana wanamfuatilia.

Nakumbuka Bashe na Msukuma waliwekwa Korokoroni kisa wanahoji pale CCM inapokosea.

Hii mbaya sana kuongoza kwa visasi.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,536
2,000
Kamati Kuu ya CCM imeteua wagombea ubunge katika majimbo matatu kama ifuatavyo; Monko Joseph (Singida Kaskazini), Damas Ndumbaro (Songea Mjini) na Stephen Kiruswa (Longido).

View attachment 651911

My Take;

Rais alisema sasa ni muda wa kazi tu. Nchimbi, Kimbisa na Sophia Simba mlisema mumewasamehe.

Kama tunavyojua Nchimbi ndo alishinda Kura za Maoni. Kwanini mumekata jina lake. CCM acheni kulipiza visasi.

Uchaguzi ushaisha na sote tunajenga nchi moja.

Hili swala limenisikitisha sababu si la kozalendo. CCM ubaguzi wenu hautawaacha salama.

Pale Dodoma Mlitangaza kwamba mumewasamehe wote waliomuunga mkono Lowassa, na Nchimbi alitubu hadi akakaribishwa Ikulu.

Kama ndivyo Nape Nnauye, Hussein Bashe wajiandae Kisaikolojoa 2020. Hawatapita sababu ya kuongea ukweli na kwenda kinyume na CCM.

Bashe alilalamika bungeni kwamba watu wasiojulikana wanamfuatilia.

Nakumbuka Bashe na Msukuma waliwekwa Korokoroni kisa wanahoji pale CCM inapokosea.

Hii mbaya sana kuongoza kwa visasi.
Hawa wanyasa kina Nchimbi wakagombee Mbambabay!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom