Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
Wana jamvi ni ukweli usiopingika kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kitapoteza majimbo mengi kiliyoyapata 2010 kutokana na misuguano ndani y chama hiko ambayo inazidi kukibomoa chama hiko.

Kwa nini iwe majimbo na si kata?Misuguano ndiyo itakayopitisha CHADEMA katika TANURU la moto.Hoja yako haijasimama na hujatueleza ni kwa namna gani umefikia hitimisho hilo.Usijenge hoja nje ya mantiki
Wana jamvi ni ukweli usiopingika kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kitapoteza majimbo mengi kiliyoyapata 2010 kutokana na misuguano ndani y chama hiko ambayo inazidi kukibomoa chama hiko.
Wana jamvi ni ukweli usiopingika kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kitapoteza majimbo mengi kiliyoyapata 2010 kutokana na misuguano ndani y chama hiko ambayo inazidi kukibomoa chama hiko.
Ikiwemo kawe na majimbo yote ya mwanza mjini
Wana jamvi ni ukweli usiopingika kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kitapoteza majimbo mengi kiliyoyapata 2010 kutokana na misuguano ndani y chama hiko ambayo inazidi kukibomoa chama hiko.
Kuna majimbo ambayo ni ya wazi ka chadema yako kama 30 haya ni majimbo mapya kabisa.
1.Ukonga
2.Kibaha mjini
3.Siha
4.Moshi vijijini
5.Kilombero
6.Kisarawe
7.Mkuranga
8.Moro mjini
9.Tarime
10.Arumeru magharibi
11.Simanjiro
12.Babati mjini
13.Babati vijijini
14.Sumbawanga
15.Kwa mama makinda sababu hagombei
16.Muheza
17.Kwa nchemba hapa dr kitila ana nafasi
18.Mwanga
19.Same mashariki
20.Same magharibi
21.Kagera mjini lwakatare pale
22.Kigoma kusini
23.Kigoma mjini
24.Igunga
25.Mtawara kuna majimbo mawili yako wazi lile la cuf na moja jingine
26.Peramiho kwa jenista
27.Kinondoni
28.Shiyanga mjini
29.Mbeya vijijini
30.Mbozi moja
Ni mpumbavu pekee ambaye anaweza kukubaliana na wewe ulichoandika.
kwa nini iwe majimbo na si kata?misuguano ndiyo itakayopitisha chadema katika tanuru la moto.hoja yako haijasimama na hujatueleza ni kwa namna gani umefikia hitimisho hilo.usijenge hoja nje ya mantiki
mm nafikiri gt kuna baadhi ya waleta mada humu wanahitaji kupimwa akili ili tujue kama ziko sawa au zimefyatuka ili wapate matibabu kabla hawajatufyeka na mapanga
mods angalieni hili, watu waletao umbeya muwafute/ wapigwe ban kabisa
Ritz,mkiendelea na ubishi wa aina hiyo majimbo ya Mtwara utayakuta kwenye orodha hiyo yameongezwa.Nikufanya kazi kwa bidii na kuacha ufisadi pekee ndio tiba ya kuiponya CCM isipoteze viti.Ila haya ya kuwapa vyeo wauza pembe za ndovu Na mnajifanya Hamuoni wakati watu wanaona!hayaNi mpumbavu pekee ambaye anaweza kukubaliana na wewe ulichoandika.
ni mpumbavu pekee ambaye anaweza kukubaliana na wewe ulichoandika.