CCM yatamba kushinda majimbo yote

CCM yatamba kushinda majimbo yote

CCM.jpg

Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kuwa kitaibuka na ushindi mkubwa kwenye uchaguzi mdogo wa marudio wa majimbo matatu ya Singida Kaskazini, Longido na Songea Mjini.

Hayo yamesemwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu CCM, Humphrey Polepole ambapo amesema kuwa Chama hicho hakina hofu ya ushindi.

Amesema kuwa Chama hicho kimefanya maandalizi makubwa hivyo kwao ushindi ni lazima katika majimbo yote yanayorudiwa uchaguzi.

“Tumekuwa tukifanya tafiti nyingi kuhusu shida za wananchi, na endapo tukifanikiwa kuchaguliwa katika majimbo hayo, kazi kubwa itakuwa ni kwenda kutatua changamoto za wananchi ambazo tayari tumeshazijua,”amesema Polepole

Hata hivyo, amewataka wapiga kura kufuata taratibu zote zilizowekwa ili kuondokana na usumbufu ambao unaweza kujitokeza
Namuona chakubanga. Huenda jimbo moja au kata moja akaachiwa bwana yule wa buguruni.
 
“Tumekuwa tukifanya tafiti nyingi kuhusu shida za wananchi, na endapo tukifanikiwa kuchaguliwa katika majimbo hayo, kazi kubwa itakuwa ni kwenda kutatua changamoto za wananchi ambazo tayari tumeshazijua,”amesema Polepole

Naomba kuuliza hivi Polepole anaposema kuwa wamefanya utafiti na kujua shida za wananchi, je kabla hayo majimbo yalikuwa yanaongozwa na wabunge wa chama gani
Uwe na adabu kidogo, anaitwa 'mzee' Polepole.
 
Ukiweka mpira kwapani unapoteza pointi zote na kupewa mpinzani wako.
Mkinichangia na jeshi la polisi na silaha za kivita lazima niweke mpira kwapani kwa sababu ni nje ya kanuni za mashindano.
 
Watu wengine sijuwi wanafikiri kwakutumia nini!Hivi inakuwaje unaposhindana na kivuli chako?Inawezekanaje kivuli chako kikakushinda?
 
Kwenye daftari la msajili wa vyama vya siasa kuna vyama vilivyosajiliwa zaidi ya 25, lakini walikataza siasa sasa vyenyewe pia huwa havishiriki.
Lakini nilisikia wanashindana na ACT pia CUF
 
CCM.jpg

Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kuwa kitaibuka na ushindi mkubwa kwenye uchaguzi mdogo wa marudio wa majimbo matatu ya Singida Kaskazini, Longido na Songea Mjini.

Hayo yamesemwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu CCM, Humphrey Polepole ambapo amesema kuwa Chama hicho hakina hofu ya ushindi.

Amesema kuwa Chama hicho kimefanya maandalizi makubwa hivyo kwao ushindi ni lazima katika majimbo yote yanayorudiwa uchaguzi.

“Tumekuwa tukifanya tafiti nyingi kuhusu shida za wananchi, na endapo tukifanikiwa kuchaguliwa katika majimbo hayo, kazi kubwa itakuwa ni kwenda kutatua changamoto za wananchi ambazo tayari tumeshazijua,”amesema Polepole

Hata hivyo, amewataka wapiga kura kufuata taratibu zote zilizowekwa ili kuondokana na usumbufu ambao unaweza kujitokeza
kwani mnashindana na nani
 
Anashindana na nani?
 
Kwani kuna kushindana, sinikunyang'anya na kujimilikisha kupitia wapiga pingu, virungu, maji washa, na bulet za moto?
 
CCM.jpg

Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kuwa kitaibuka na ushindi mkubwa kwenye uchaguzi mdogo wa marudio wa majimbo matatu ya Singida Kaskazini, Longido na Songea Mjini.

Hayo yamesemwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu CCM, Humphrey Polepole ambapo amesema kuwa Chama hicho hakina hofu ya ushindi.

Amesema kuwa Chama hicho kimefanya maandalizi makubwa hivyo kwao ushindi ni lazima katika majimbo yote yanayorudiwa uchaguzi.

“Tumekuwa tukifanya tafiti nyingi kuhusu shida za wananchi, na endapo tukifanikiwa kuchaguliwa katika majimbo hayo, kazi kubwa itakuwa ni kwenda kutatua changamoto za wananchi ambazo tayari tumeshazijua,”amesema Polepole

Hata hivyo, amewataka wapiga kura kufuata taratibu zote zilizowekwa ili kuondokana na usumbufu ambao unaweza kujitokeza
Zaidi ya miaka 50 ndo wanazijua shida za Watanzania? Hivi umefanya mazoezi mwenyewe ukacheza mechi mwenyewe halafu unajishangilia mwenyewe, utashangaza watu. Hii inawezekana kwa nchi za Afrika hasa hapa kwetu
 
Kwani wanashindana na nani!!!? Huku ni kujitekenya na kucheka mwenyewe
 
Safi sana ccm. Endeleeni kutuletea wabunge wa ndiooooo. Hayo ndo maendeleo tunayoyataka
 
Unachukua saɓuni unaenda ɓafuni unapiga nƴeto alafu unatoƙa unajisifu leo sikujua nimempiga ɓao ɓili za hatari ma ccm ɓwana
 
Mungu niache hai nione uchaguzi wa 2020.... Chini ya katiba hii
 
Back
Top Bottom