CCM yatamba kushinda majimbo yote

CCM yatamba kushinda majimbo yote

Jamani hebu tuacheni unafiki Watanzania wenzangu. Kwani kuna Uchaguzi hapa au watu wameandaa makaratasi yatakayoonyesha ushindi wa Kishindo wakati wapigakura wenyewe watakuwa wachache vituoni baada ya kuona wanasiasa wanachezea kodi za Watanzania?
CCM inashindana yenyewe lakini haiamini kama itashinda, chama cha ajabu sana.
 
Jamani hebu tuacheni unafiki Watanzania wenzangu. Kwani kuna Uchaguzi hapa au watu wameandaa makaratasi yatakayoonyesha ushindi wa Kishindo wakati wapigakura wenyewe watakuwa wachache vituoni baada ya kuona wanasiasa wanachezea kodi za Watanzania?
Kodi gani inachezewa? Hii ndo gharama ya Demokrasia. Longido mbunge wake alitenguliwa na mahakama. Singida kaskazini mbunge wake alijivua uanachama wa CCM akaenda CDM na Songea mjini mbunge wake alifariki dunia. Sasa ulitaka hayo majimbo yawe wazi bila uwakilishi? Jambo la msingi hapa ni kuwalaumu wale waliosusia uchaguzi kwamba wamewaokosesha wananchi haki ya kuchagua mtu wanaemtaka.
 
Hahahaha kuwa tahira siyo lazima uzurure na makopo

Wanatamba kushinda dhidi ya nani?!
 
“Tumekuwa tukifanya tafiti nyingi kuhusu shida za wananchi, na endapo tukifanikiwa kuchaguliwa katika majimbo hayo, kazi kubwa itakuwa ni kwenda kutatua changamoto za wananchi ambazo tayari tumeshazijua,”amesema Polepole

Naomba kuuliza hivi Polepole anaposema kuwa wamefanya utafiti na kujua shida za wananchi, je kabla hayo majimbo yalikuwa yanaongozwa na wabunge wa chama gani
 
Yani unajikimbiza mwenyewe alafu unashangilia umeshinda
 
Hivi unashindaje wakati hakuna unae shindana nae? Hizi ni fikira mbovu sana
 
Back
Top Bottom