Wakati mwingine ficha ujinga wako mbele za wengine. Ccm walikuwa wajumbe 9 na ukawa 5 nipe kigezo cha ccm kushindwa au ni kwanini ukawa hawakushinda? Hesabu ndogo hizo zinakutesa na unakuja kifua mbele kujisifu na kusifia ujinga.Chadema chali tena
Kukamata watu na kuwafungulia kesi za kubambika.bro utachoka kuandika bureee hbr za matokeo coz unafikiri kwa UTENDAJI NA UFATILIAJI HUU ambao UNATOA MAJIBU SAHIHI TENA KWA WAKATI kwa maswali na masikitiko LUKUKI yaliyojaa mioyoni mwa watanzania kwa miaka 10,,nani ATATHUBUTU kuwapa nafasi chadema?kwa kipi cha maana ambacho hawamu hii hakipo?
Sasa mbona zile ambazo ukawa wanakuwaga wengi na ni obvious mnashinda huwa mnaimba mtaa mzima na kupita na kosta za wadada na madera wakidansisha makalio yao madirishani?? Hapa huwa mmeshindana ma nani??Kwani mlikuwa mnashindana na nani wakati CCM mko 9 na UKAWA 5 , ingekuwa maajabu kama UKAWA wangeshinda ndio ingekuwa habari lakini CCM kushinda ilikuwa Obvious .....Acha ushamba .....
Inakuaje Ishinde ilhali haina mvuto??ukawa ikishinda ndio kuna msisimko, lakini ccm ikishinda wala hamna anayehoji. simply ccm haina mvuto.
Alipigwa chini engineer mnyaa cuf. Usiangalie upande mmojaWatu wanangalia chama badala ya uwezo.huyo diwani wa Ukawa ndio think tank ya halmashauri,kuanzia kwa mkurugenzi mpaka madiwani,halafu wamempiga chini
Hamkupeleka mawaziri na wabunge wa Zanzibar kuwapigia kura kwa nini? Mbona mmeshinda kwa kura ndogo Sanaa.![]()
Meya mpya wa Kigamboni Maabadi Hoja (katikati) akizungumza na wanahabari baada ya kuchaguliwa leo kulia ni Naibu meya Amin Sambo na kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Steven Katembo. Picha na Bakari Kiango
Kwa ufupi
By Bakari Kiango, Mwananchi bkiango@mwananchi.co.tz
- Uchaguzi huo umefanyika leo (Jumamosi )katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julisu Nyerere kilichopo Kigamboni.
- Mwenyekiti wa uchaguzi huo, Rachel Mhando amesema jumla ya kura zilizopigwa ni 15 na moja iliharibika.
Dar es Salaam. Diwani wa Kata ya Pemba Mnazi (CCM), Maabadi Hoja ameshinda umeya wa Halmashauri mpya ya Kigamboni baada ya kupata kura tisa dhidi ya tano za Celestine Maufi wa Chadema.
Uchaguzi huo umefanyika leo (Jumamosi )katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julisu Nyerere kilichopo Kigamboni.
Mwenyekiti wa uchaguzi huo, Rachel Mhando amesema jumla ya kura zilizopigwa ni 15 na moja iliharibika.
Mhando ambaye ni Katibu Tawala wa Kigamboni, amesema nafasi ya naibu meya imekwenda kwa Amin Sambo kutoka CCM aliyemshinda Ernest Mafimbo wa CUF chini ya Ukawa.
Chanzo: Mwananchi
Big up![]()