mkonongo1938
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 1,990
- 2,400
Hiyo siyo habali.. Habali ni boss wa Jamii forum aachiliwe huru
Chadema chali tena
Ila utofauti huu ungekuwa ccm yaani ccm 5 Na ukawa 9 Wala isingekuwa tabu ccm kubidua mambo....na ungesikia Polisi,ffu Na kadhalika wangekuja kusaidia mambo Na ungesikia wameshindaKwani mlikuwa mnashindana na nani wakati CCM mko 9 na UKAWA 5 , ingekuwa maajabu kama UKAWA wangeshinda ndio ingekuwa habari lakini CCM kushinda ilikuwa Obvious .....Acha ushamba .....
bro utachoka kuandika bureee hbr za matokeo coz unafikiri kwa UTENDAJI NA UFATILIAJI HUU ambao UNATOA MAJIBU SAHIHI TENA KWA WAKATI kwa maswali na masikitiko LUKUKI yaliyojaa mioyoni mwa watanzania kwa miaka 10,,nani ATATHUBUTU kuwapa nafasi chadema?kwa kipi cha maana ambacho hawamu hii hakipo?![]()
Meya mpya wa Kigamboni Maabadi Hoja (katikati) akizungumza na wanahabari baada ya kuchaguliwa leo kulia ni Naibu meya Amin Sambo na kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Steven Katembo. Picha na Bakari Kiango
Kwa ufupi
By Bakari Kiango, Mwananchi bkiango@mwananchi.co.tz
- Uchaguzi huo umefanyika leo (Jumamosi )katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julisu Nyerere kilichopo Kigamboni.
- Mwenyekiti wa uchaguzi huo, Rachel Mhando amesema jumla ya kura zilizopigwa ni 15 na moja iliharibika.
Dar es Salaam. Diwani wa Kata ya Pemba Mnazi (CCM), Maabadi Hoja ameshinda umeya wa Halmashauri mpya ya Kigamboni baada ya kupata kura tisa dhidi ya tano za Celestine Maufi wa Chadema.
Uchaguzi huo umefanyika leo (Jumamosi )katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julisu Nyerere kilichopo Kigamboni.
Mwenyekiti wa uchaguzi huo, Rachel Mhando amesema jumla ya kura zilizopigwa ni 15 na moja iliharibika.
Mhando ambaye ni Katibu Tawala wa Kigamboni, amesema nafasi ya naibu meya imekwenda kwa Amin Sambo kutoka CCM aliyemshinda Ernest Mafimbo wa CUF chini ya Ukawa.
Chanzo: Mwananchi
Huu uzi unabid ufutwe, wanamkata Melo halafu wanajidai kuleta viuz vyao humu.ukawa ikishinda ndio kuna msisimko, lakini ccm ikishinda wala hamna anayehoji. simply ccm haina mvuto.
Heko ccm. cdm hawaaminiki tena hata chembe baada ya kutaka kutuwekea fisadi waheed kama rais.![]()
Meya mpya wa Kigamboni Maabadi Hoja (katikati) akizungumza na wanahabari baada ya kuchaguliwa leo kulia ni Naibu meya Amin Sambo na kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Steven Katembo. Picha na Bakari Kiango
Kwa ufupi
By Bakari Kiango, Mwananchi bkiango@mwananchi.co.tz
- Uchaguzi huo umefanyika leo (Jumamosi )katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julisu Nyerere kilichopo Kigamboni.
- Mwenyekiti wa uchaguzi huo, Rachel Mhando amesema jumla ya kura zilizopigwa ni 15 na moja iliharibika.
Dar es Salaam. Diwani wa Kata ya Pemba Mnazi (CCM), Maabadi Hoja ameshinda umeya wa Halmashauri mpya ya Kigamboni baada ya kupata kura tisa dhidi ya tano za Celestine Maufi wa Chadema.
Uchaguzi huo umefanyika leo (Jumamosi )katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julisu Nyerere kilichopo Kigamboni.
Mwenyekiti wa uchaguzi huo, Rachel Mhando amesema jumla ya kura zilizopigwa ni 15 na moja iliharibika.
Mhando ambaye ni Katibu Tawala wa Kigamboni, amesema nafasi ya naibu meya imekwenda kwa Amin Sambo kutoka CCM aliyemshinda Ernest Mafimbo wa CUF chini ya Ukawa.
Chanzo: Mwananchi
Congratulations![]()

![]()