Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,571
Selemani Amiri Nduboganyi , aliyekuwa m.kiti wa ccm wilaya ya Rufiji na aliwahi kuwa katibu mwenezi wa CCM Wilaya ya Rufiji, ameamua kujivua gamba leo na kujiunga na CDM katika mkutano wa Kibaha.
Leo amejiunga rasmi na Chadema kwenye mkutano kibaha , na kasema kambi ya CCM ina siafu haifai , watu waihame mara moja maana wataathirika.
Alikua mwakilishi wa Redio uhuru Rufiji na amejitoa , kwani ngoma inazama