CCM Yasambaratishwa Rufiji, wazee wake wajiunga na CHADEMA ...aliyekua M.kiti wa Wilaya

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
Selemani Amiri Nduboganyi , aliyekuwa m.kiti wa ccm wilaya ya Rufiji na aliwahi kuwa katibu mwenezi wa CCM Wilaya ya Rufiji, ameamua kujivua gamba leo na kujiunga na CDM katika mkutano wa Kibaha.

Leo amejiunga rasmi na Chadema kwenye mkutano kibaha , na kasema kambi ya CCM ina siafu haifai , watu waihame mara moja maana wataathirika.

Alikua mwakilishi wa Redio uhuru Rufiji na amejitoa , kwani ngoma inazama
 
thanks God, naona m4c inazidi kueleweka, karibu chadema mheshimiwa uendeleze vuguvugu la mabadiliko
 
Kwa nilivyoona jana katika nyuuuuzi ni kuwa kuna ahadi nyingi sana ziliahidiwa mkoa wa pwani hasa Wilaya ya Rufiji na hazijatekelezwa na nyingine hovyo hasa visima vya maji.. Na wale wazee walisema kabisa hawako tayari kuona wake zao wanatumia siku mbili kuteka maji!! Walimkebehi mkuu wa wilaya on the spot!! Moto wawaka!! 2015 yaja na ahadi za matrilion hazijatekelezwa!! Poleni!!
 
Kadi yake mmeichukua au mmemuachia aiweke Kumbukumbu si unajua hata Slaa anajua Akiba ya Kadi ya uanachama CCM haiozi!
 
Kadi yake mmeichukua au mmemuachia aiweke Kumbukumbu si unajua hata Slaa anajua Akiba ya Kadi ya uanachama CCM haiozi!

Mtakalia na hilo kama mlivyokalia la udini, ukabila, ukanda, kutumia polisi, kutesa, kuua na kuteka, na kadhalika, ngoma ikazidi kusonga mbele. Kutahamaki mlishachelewa, mkabaki mkutano mzima wa siku kadhaa, mnazungumzia CHADEMA tuuuu, kuanzia mwenyekiti wa taifa mpaka wa tawi.

Tunamtaka 'mwanaCCM' aina ya Slaa ambaye anafanya kazi ya kukiua chama chenu, if so a case. Sawasawa! Hamuoni huo ujuha mnavyojianika wazi.
 
Kadi yake mmeichukua au mmemuachia aiweke Kumbukumbu si unajua hata Slaa anajua Akiba ya Kadi ya uanachama CCM haiozi!

Tuipeleke wapi.? Rufiji kimenuka, redio uhuru itajaribu kumchafua sana kwani alikuwa ndio mwakilishi wao Rufiji sasa sijui itakuwaje, amesema kwa mwezi mzima hajatuma habari kwani redio inapotosha ukweli.
 
Ccm wanachukua wanachama wanao fukuzwa cdm,lakin cdm inachukua wanachama hi na viongozi hi walio choshwa nasio walio fukuzwa ccm.utofaut upo na nimkubwa mnoo.ccm wanakazi nzito kununua uma wa watz!!sidhan they have long safari huuu mama.
 
Yeah! Hii ndio CHADEMA ambayo ilionifanya nikeshe usiku kucha kulinda na kupambana kwa ajili ya kumtetea kamanda Joseph Kashindye pale Igunga oct 2011.
Hakika chadema hii nchi ni yetu 2015 ila tusikate tamaa.

Shardcole@Tabora1.
 
Hali ni mbaya sana kwa CCM kama wanachama wao waaminifu wanahamia CHADEMA sijui nani atabakia CCM.

RIP CCM.
 
Hawakuwapo polisi wa magamba kuwateremsha jukwaani kuwakamata na kuwafungulia kesi za kuchochea vurugu?
 
Mtakalia na hilo kama mlivyokalia la udini, ukabila, ukanda, kutumia polisi, kutesa, kuua na kuteka, na kadhalika, ngoma ikazidi kusonga mbele. Kutahamaki mlishachelewa, mkabaki mkutano mzima wa siku kadhaa, mnazungumzia CHADEMA tuuuu, kuanzia mwenyekiti wa taifa mpaka wa tawi.

Tunamtaka 'mwanaCCM' aina ya Slaa ambaye anafanya kazi ya kukiua chama chenu, if so a case. Sawasawa! Hamuoni huo ujuha mnavyojianika wazi.

juha ni wewe uliekabidhi kadi yako ya Ccm wakati uliemkabidhi ya kwake kaitunza kama kumbukumbu.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni JK kafanya mengi-Mbowe. Sina neno la shukran kutambua juhudi zako za kuboresha sekata Ya Afya- Mwenyekiti wa Bodi ya Hospital ya CCBRT dkt Slaa akishukuru kukabidhiwa kiwanja cha kujenga hospital kubwa zaid ya CCBRT. Wenzako wakikutana na JK vicheko na maneno ya shukran hayaishi!
 
Yaani nyie cdm mnanifurahisha sana kupata mwanachama mmoja wa ccm mnaona tayari imechukua nchi mmesahau kuwa wenzenu wanawanachama milioni tano bado mashabiki wao ambao ni zaidi ya wanachama.nyie mlionao ni mashabiki wanaongalia upepo wa siku hiyo.wanawashangilia lakini hawawapigii kura.wenzenu wameanza kuandikisha wanachama wa kuwapigia kura.sehemu za vijijini watu hawawajui wanajua hicho ni chama cha wachagga.
 
Back
Top Bottom