CCM yapata pigo baya Lugata

CCM yapata pigo baya Lugata

maguzu masese

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
283
Reaction score
139
Chama
cha mapinduzi kimdpoteza wenyeviti wanane na kujiunga na chadema
leo,hayo yametokea baada ya Kamanda Mawazo kutoa hotuba yenye ushawishi
mkubwa kwenye kampeni za udiwani.Wa kwanza ni Ntimanywa wa Lugata center
 
mkuu ni wenyeviti wa nini? kijiji kitongoji?. mia
 
Safi sana wananchi achaneni na hayo mafirauni MACCM, MIaka hamsini eti wanasema wameleta maendeleo ya wananchi kunywa maji ya viluwiluwi kutiririsha mavi barabarani
Hahaha mkuu froida umepotea siku hizi uko wapi boss!!!!
 
Chama
cha mapinduzi kimdpoteza wenyeviti wanane na kujiunga na chadema
leo,hayo yametokea baada ya Kamanda Mawazo kutoa hotuba yenye ushawishi
mkubwa kwenye kampeni za udiwani.Wa kwanza ni Ntimanywa wa Lugata center

Sio chama cha mapinduzi, ni chama cha magaidi au ccm.
 
Ngoja wakauone ukanda, ukabila na udini uliopo chadema watarejea wenyewe mlango ccm ukowazi.
 
Habari za uzushi, Lugata CHADEMA haina mgombea makini, mmemweka jitu lisilo na sifa
 
Chama
cha mapinduzi kimdpoteza wenyeviti wanane na kujiunga na chadema
leo,hayo yametokea baada ya Kamanda Mawazo kutoa hotuba yenye ushawishi
mkubwa kwenye kampeni za udiwani.Wa kwanza ni Ntimanywa wa Lugata center

Mkuu maguzu masese hao waliovaa gwanda ni wenyeviti wa vijiji ama vitongoji?
 
Last edited by a moderator:
...Kamanda Mawazo; wee acha tu !!!!!!!!!!!!

CHADEMA Makao Makuu, chonde kati ya vijana wetu kibao ndani ya chama na juhudi zao zisizoelezeka kule mashinani kote nchini, napenda kuleta kwenu ombi langu kwenu kuwatambua kwa namna ya kipekee hawa wenzetu akiwemo Kamanda Mawazo, Ally Bananga, Ben Saanane, John Heche, Ole Milya, Ephata Nanyaro, Mwita Maranya, Sugu, na Mchungaji Msigwa.

Hakika hawa vijana wetu, kati ya wengine wengi sana tu, ni moto wa kuotea mbali mnoooo!!!!!!!!!!!!!

Chama cha mapinduzi kimdpoteza wenyeviti wanane na kujiunga na chadema
leo,hayo yametokea baada ya Kamanda Mawazo kutoa hotuba yenye ushawishi mkubwa kwenye kampeni za udiwani.Wa kwanza ni Ntimanywa wa Lugata center
 
Naona moto wa mabadiliko unazidi kuwababu CCM, ama kweli watu wameona namna ambavyo serikali ya CCM imevaa miwani ya mbao!
 
CHADEMA siku hizi imefika mpaka vijijini.
CCM watabaki pale Lumumba na mipango yao ile ya kukata mapembe, kuvuana magamba, kung'oa kucha na meno nk.

CHADEMA YATOSHA!!!!
 
Back
Top Bottom