CCM yapata pigo baya Lugata

CCM yapata pigo baya Lugata

Habari kama hii ni BALANCED DIET kwangu!
Na hii ndiyo tofauti kati ya mtu makini anayekuja CHADEMA dhidi ya wale wanaofanywa vigagula kule waendako kutokea CHADEMA
Kazi njema kamanda Mawazo....
 
Kipigo ni kipigo tu masisiem lazima yapate kipigo cha mbwa mwizi....
 
Huyu mawazo kwa nini haendi kushiriki vikao vya madiwani arusha?

kumbuka kamanda mawazo ni mzee wa poli kwa poli, kijiji kwa kijiji msitu kwa msitu haonekani mjini na kama akionekana basi ataacha gumzo kubwa sana. kwa hiyo arusha wasubiri watamuona tu yupo polini kidooogo. big up kamanda.
 
Chama
cha mapinduzi kimdpoteza wenyeviti wanane na kujiunga na chadema
leo,hayo yametokea baada ya Kamanda Mawazo kutoa hotuba yenye ushawishi
mkubwa kwenye kampeni za udiwani.Wa kwanza ni Ntimanywa wa Lugata center

...lazima wataisoma namba hata kama hawajaenda shule, walizani makombora yanarushwa na Dr na mbowe pekee wakasahau kuna majeshi ya kikanda,chezeya M4c weye...
 
Hii ya kamanda Mawazo imenikumbusha ahadi niliyoipenda sana, "Kwa yamini yangu naahidi ya kuwa, nitajitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu, kutimiza wajibu wangu kwa Mwenyezi Mungu na kwa nchi yangu, kuwasaidia watu siku zote na kuzitii kanuni za skauti". "ONCE A SCOUT ALWAYS A SCOUT". Skauti mwenzangu ukizisoma kanuni za skauti, ndivyo CDM waishivyo. BRAVO BRAVO BRAVO CHADEMA.
 
...Kamanda Mawazo; wee acha tu !!!!!!!!!!!!

CHADEMA Makao Makuu, chonde kati ya vijana wetu kibao ndani ya chama na juhudi zao zisizoelezeka kule mashinani kote nchini, napenda kuleta kwenu ombi langu kwenu kuwatambua kwa namna ya kipekee hawa wenzetu akiwemo Kamanda Mawazo, Ally Bananga, Ben Saanane, John Heche, Ole Milya, Ephata Nanyaro, Mwita Maranya, Sugu, na Mchungaji Msigwa.

Hakika hawa vijana wetu, kati ya wengine wengi sana tu, ni moto wa kuotea mbali mnoooo!!!!!!!!!!!!!


Kwani ilikuwaje hata kikatokea kilio kikubwa hivyo? Da! Jamani. Mwe!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wananchi ndo wataamua, Kutawala miaka zaidi ya 50, vilevile ni upumbavu, mwenye akili angeachia na wengine ili ajifunze makosa, Nyerere ndo maana aliachia, CCM lazima iachie kwa kupenda au kutopenda
 
Back
Top Bottom