Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
umemsahau Mzee wa Upako wa Mbeya - Mwambigija...Kamanda Mawazo; wee acha tu !!!!!!!!!!!!
CHADEMA Makao Makuu, chonde kati ya vijana wetu kibao ndani ya chama na juhudi zao zisizoelezeka kule mashinani kote nchini, napenda kuleta kwenu ombi langu kwenu kuwatambua kwa namna ya kipekee hawa wenzetu akiwemo Kamanda Mawazo, Ally Bananga, Ben Saanane, John Heche, Ole Milya, Ephata Nanyaro, Mwita Maranya, Sugu, na Mchungaji Msigwa.
Hakika hawa vijana wetu, kati ya wengine wengi sana tu, ni moto wa kuotea mbali mnoooo!!!!!!!!!!!!!