Aliyeleta mada kaingia mitini, hayuko hapa kujibu hoja za source ya habari. Nichangie nini kama hata moderator hajathibitisha wasiwasi wa wengi kuhusu ukweli wa habari hii?
Nashukuru kwa kujitokeza haraka kuweka kumbukumbu sawa katika jukwaa hili.
Aliyeleta mada kaingia mitini, hayuko hapa kujibu hoja za source ya habari. Nichangie nini kama hata moderator hajathibitisha wasiwasi wa wengi kuhusu ukweli wa habari hii? Namwona Mod Buchanan akiwamo ndani ya uzi huu kushuhudia kinachoendelea.?
Mh. tujipe muda kuna mengi nyuma ya pazia, tafakari there is something behind the screneNashukuru kwa kujitokeza haraka kuweka kumbukumbu sawa katika jukwaa hili.
Uamuzi wa Kinana kutogombea umepokewa kwa hisia tofauti lakini kuna watu wanajaribu kupotosha ....ETI NI KUACHANA NA SIASA UCHWARA...!!!!! hii hapa chini ndio sehemu ya maneno yake binafsi juu ya uamuzi wake huu....
"SIJAGOMBEA KWAKUWA MIAKA 25 YA KUSHIRIKI KATIKA KAMATI KUU NADHANI INATOSHA NA NI VIZURI KUNG'ATUKA. NAAMINI KUNA WANACCM WENGI WAZURI WENYE SIFA NA UWEZO WA KUONGOZA CHAMA. UONGOZI NI KUPOKEZANA VIJITI NA NI WAKATI WANGU KUKABIDHI WENGINE KIJITI HIKI"
Sasa wanaosema eti siasa uchwara wanayatoa wapi........ Uzushi mwingine ni wa ajabu sana..
##nakuomba mods msiunganishe hii thread na ile ya uzushi tafadhali!
Uamuzi wa Kinana kutogombea umepokewa kwa hisia tofauti lakini kuna watu wanajaribu kupotosha ....ETI NI KUACHANA NA SIASA UCHWARA...!!!!! hii hapa chini ndio sehemu ya maneno yake binafsi juu ya uamuzi wake huu...."SIJAGOMBEA KWAKUWA MIAKA 25 YA KUSHIRIKI KATIKA KAMATI KUU NADHANI INATOSHA NA NI VIZURI KUNG'ATUKA. NAAMINI KUNA WANACCM WENGI WAZURI WENYE SIFA NA UWEZO WA KUONGOZA CHAMA. UONGOZI NI KUPOKEZANA VIJITI NA NI WAKATI WANGU KUKABIDHI WENGINE KIJITI HIKI"
Sasa wanaosema eti siasa uchwara wanayatoa wapi........ Upuuzi mwingine ni wa ajabu sana..
##nakuomba mods msiunganishe hii thread na ile ya uzushi pls
Nashukuru kwa kujitokeza haraka kuweka kumbukumbu sawa katika jukwaa hili.