jembe la kigoma
Senior Member
- Mar 23, 2012
- 119
- 19
- Thread starter
- #21
We mbona unalipuka kama petrol hivyo, unayafahamu majungu? Mi niliuliza kwa sababu ulivyotoa habari ulikuwa ni kama first person narrator, vinginevyo nisingeuliza, na kwa sasa sipo darasani!
Kwakweli umenisikitisha mno mkuu MWAKABANJE kwa hoja yako hiyo ,nimekuvua ukamanda wako wote ulionao hapo SAUT.yaani umeshindwa hta kufikiri jinsi gani hata TanzaniaDaima linaweza pata taarifa za Kigoma?shame