CCM yamgeuka Lowassa

Tatizo watanzania wa aina ya makamba mpaka waone maji yamewafika shingoni ndio wajue sasa tunazama,suala la kujihadhari kabla ya hatari kwao ni msamiati,aah! Poa tu lakini si unajua ili nchi iwe nchi ni lazima watu wa aina ya makamba wawepo.......twendeni nae hivyo hivyo
 
no, mh. lema ni mbunge wa kuchaguliwa na wananchi sio mhuni, pls respect him.
cha kufanya sema tabia zake ndo za kihuni, hapo hata mie ntakuunga mkono. thanks
 
Kwa siku za karibuni nimeona wanachama wa CUF wamekuwa wapenzi wa CCM kweye malumbano ya Urais kati ys Dr. Slaa na JK, je na kwa Lowasa ni washabiki au?
 
Kwa siku za karibuni nimeona wanachama wa CUF wamekuwa wapenzi wa CCM kweye malumbano ya Urais kati ys Dr. Slaa na JK, je na kwa Lowasa ni washabiki au?

Slaa? give me a break! Toka lini katibu wa kichama akafananishwa na rais? Hebu kuwa na adabu!
 
hapo sasa nadhani hakimu muhuni akifanya mahamuzi sahii basi msimuhukumu kwa uhuni wake, lowasa anaweza kuchangia mambo meme ingawa yeye si mwema
 
ukifikia umri wa uzee akili na matendo yanakuwa kama ya mtoto, YM hajui analolifanya ila tumshanga mkwere kwa kuwa halijui hili
 
Duh, kweli kumbe wewe ndio umekufa. Chama kimeshinda Urais, Kina wabunge 76%, kina madiwani 83% bado wasema kimekufa. Hivi nawe kweli ni GREAT THINKER? Jitoe tu humu jamvini
ushindi wa wizi. Hata Kikwete anajua kuwa hakutakiwa kuwa ikulu. Yeye ni mwizi na wewe kama uko naye wote nyie wezi.
kibunango amesha prove kwamba alihusika katika wizi wa kura. So wacha kuweka figures za uongo hapa.
 
CCM wamechelewa sana na watakapofunguka macho makamba ameshawaharibia mengi. Pale kwa makamba zimejaa blabla, lakini ile kitu haki, busara na hekima anahitaji kujifunza kwa vijana sasa kwani haziwezi kuota na kumwagiliwa kwa sasa wakati ni jioni kwake.

Alichokiongea Mheshimiwa Lowasa kuna dalili ya mtu mwenye mtazamo wenye kuwa na uchungu na mji wake, na hata dalili za busara zinaonyesha kuliko katibu mkuu makamba haoni nini cha muhimu kwa nchi ila mradi sisiemu wako madarakani. Inachekesha sana.

Kwa vile kwa sisiem ni mwaka wa wanawake afadhali waziri wa ardhi wampe wadhifa wa Katibu mkuu wa sisiemu akinusuru chama.
:embarrassed:
Unajua tatizo kubwa la Baba January ni elimu na upeo mdogo wa kuelewa na kupambanua mambo, hivi vyeo vya kupachikana kwa uswahiba hivi vitatufikisha Tanzania pabaya sana.
 
Hivi ulishaona wapi mtu usiokuwa na matunda ukapigwa MAWE?
Wana JF, kilichopo Arusha ni hiki: CCM imeshinda Kata 10, CHADEMA Kata 8 na TLP Kata 1. Katika mgawo wa viti maalumu CCM ikapata viti 3, CHADEMA 3 na TLP 1. Na katika Ubunge CCM ina wabunge wa viti maalumu 2, CHADEMA inao 3.Piga hesabu hapo kutokana na mchezo huo ulivyo ndio maana CCM wakalazimika Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga Mary Chatanda ambaye ni Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha apige kura Manispaa ya Arusha kumchagua Meya.

Nadhani sio sahihi kuwaruhusu wabunge wa viti maalumu kupiga kura ya kumchagua meya, hili linapaswa liachwe kwa madiwani na wabunge wa kuchaguliwa pekee.

Hili likiachwa liendelee itawezekana meya akatokea kwenye chama chenye madiwani wachache sana lakini chenye wabunge wengi wa viti maalumu waliopo kwenye jiji husika, hapa halmashauri itakuwa haikuchaguliwa na wananchi husika.
 
Lakini vipi kisheria na taratibu, hili limekaaeje???

Siku zote wezi huwa wanabuni mianya mingi ya kuiba. Nahili dawa ni kumaliza ubishi kwa kupata katiba mpya iliyokamilika au kama chama kinaishinda CCM badi kiwamalize kwa kura nyingi ktk kura zote. Urais, ubunge na udiwani. Hawa jamaa wezi mno, nao hawafichani, wanatambiana 'enti ktk jimbo lako hukufanya umafia wa kutosha, kura zako hazikufua dafu kwa za kwangu...maeneo mengine hata zao tumezoa'. Hiyo ndio akili yao, na baadhi wanakuja hapa jamvini na kushadadia ushindi na kujipiga vifua CCM imeshinda!
Heri ya miili na akili za wale waliokwishatutoka tutazisikitikia, ila hawa walio CCM kwa sasa ni miili tu, akili zilishaenda na waanzilishi. Ndio maana ni ngumu sana kudiscuss au ku-argue mambo ya msingi ya kitaifa na watu hawa. Ni style ya akina Bana, Chili, ma-Kamba, Kinana-al Sahaf nk...
Hawana dira yoyote...wamekalia kula ufisadi na jasho la wenye nchi...Wengine ndio hao Wauza ndumu na 'sembe', i mean 'unga' na kuna jamaa mmoja hapa jamvini kawataja baadhi ktk thread moja kuhusu Wikileaks kuitaja Tz kuwa kinara wa Drug dealers. Walotajwa na jamaa wote ni nguli wa chama hiki, kuna mawaziri na wabunge na list ndo kwanza haijaanza...
Nawaachia muendeleze...
 
Back
Top Bottom