CCM Yamchefua H. Polepole

Kilochonisikitisha mie na wenzangu chadema asilia ni kuona wenzetu wakipokea makapi...

Yani bahati mbaya leo Lowassa tulosema ni mtu sahihi wa kuong'oa CCM tumeishaona hatoshi ila Wema ndo mtu sahihi sasahivi wa kuiondoa CCM.

Tutaacha lini kuamini kuwa ili tuitoe CCM lazima tusajili wachezaji wabwia unga na bangi kutoka CCM?

2020 hatuna chetu.
 
Wazee wa zaman walisema " funika kombe mwana haramu apite" vijana wa leo wanasema "funua kombe mwana haramu asipite" sasa banda liko wazi wacha njiwa warukeruke watakavyo
 
Ningekuwa polepole nisingekubali teuzi za jpm kutokana na msimamo wake juu ya serikali tatu,msimamo ambao ni kinyume kabisa na itikadi ya ccm na jpm mwenyrwe lakini kitu pesa ni noma
 
CCM ya sasa sio hile ya jk so ivo v2 lazma vitokee tu na uelewa wa watanguliz wake sio sawa na huu...,mzee kinana kafungwa mdomo
 
Maccm yanazidi kuputika tu kwanzia ndani ya chamaa.
 
H
Hahahaha!!! Inawezekana usemacho ndg ndicho' Polepole anataka kukipeleka chama kulingana na muono wake' wakt cha hicho kinawenyewe ' wahafidhina wanaotaka kumthibiti kila kiongozi chamani mwao' lkn hii ndio maana ya " ufalme ulio fitnika nafsi yake" huwezi kusimama' mshahara wa dhambi mauti. Hakuna wa kukwepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…