CCM Yamchefua H. Polepole

Ukila Nyama ya MTU hautaacha...nachechemeaaaaaaa
 
Wanahama kwa wingi kuwafuata WAUZAJI na WABWIYA unga
Nchi itatulia tu
Vita hii hakuna cha Binge wala Mahakama mpaka waishe hata mitandaoni

Jiulize kwanini Mkuu wa Mkoa amempangia nyumba International Drug Trafficker na hakumtaja kwenye vyombo vya habari na amekutwa na Heroine nyumbani kwake.

Kama.ni hivyo maana yake hata Mkuu wa Mkoa ni wale wale Drug dealers wa GSM
 
[quote uid=315502 name="Upepo wa Pesa" post=19869696]Nichukue fursa mara ya ngapi gamba wewe?? Fursa nimechukua na nnachukua dailee ila siwezi kaa kimya mambo yanapoenda kombo!
<br />Yanaenda kombo wapi acheni kulia kulia tujifunge mkanda ..fanya kazi rizika na unachopata muda wa kupiga dili uliiisha..miaka 8 ni mingi imebaki jpm atuongoze tuache kujichosha kwa kulialia[/QUOTE]
Duuuh kumbe watu wa dizaini hii bado wapo.?mmmh kwel kenge n kenge hawez kuwa mamba
 
Wewe umezidisha unafiki
 
Kumpa Ile Nafasi polepole ni sana na kumbebesha kuku debe la mahindi.
 
Kama CCM ilikwepa Mpasuko 2015 haitopasuka 2020 Ila Mabingwa wa Njozi wanaruhusiwa kuendelea kuota!

Tatizo lenu mnajitahidi sana kupandikiza Mgogoro Ila mnasahau kuwa Proaganda ni Taaluma inayosomwa Darasani na Nyie na Darasa ni Kama Chai na Kungu!
Wana propaganda uchwara
 
<br />Yanaenda kombo wapi acheni kulia kulia tujifunge mkanda ..fanya kazi rizika na unachopata muda wa kupiga dili uliiisha..miaka 8 ni mingi imebaki jpm atuongoze tuache kujichosha kwa kulialia
Duuuh kumbe watu wa dizaini hii bado wapo.?mmmh kwel kenge n kenge hawez kuwa mamba[/QUOTE]
Si kila unachokita we wote tunakita na usijumuishe mawazo ya wengi katika ubongo wako finyu
 
Polepole haamini umuhimu wa katiba mpya mpaka nchi " inyooshwe" kwanza
 
Hv nmejiuliza leo, pia nkajiulza nassari na mdee vipi hawaonekan kweny ishu hizi
 
kwani polepole ndonani? Harakaharaka ni nani kwaiyo. Tusaidiane maana wengine hatufatiliagi watu wa hivihivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…