Tetesi: CCM yalizwa na CHADEMA uchaguzi mdogo Uyui Tabora

Puuuuuuuuuuuuuuuuuu

Ndukiiiiiii hadi Lumumba niwahi buku 7 yangu maana upepo hausomeki.
2020 ni siri yangu.
Sipendagi ujinga kwenye maamuzi mimi
 
Aliyetangaza Matokeo ajisalimishe haraka
nina wasiwasi aliyetangaza matokeo sidhani kama ataendelea na wadhifa wake, manake alishawaambia maded, wakuu wa wilaya na wengineo kuwa wanapewa posho, halafu wanakuja kusikia mpinzani kapita, wajiandae aisee kuenguliwa
 
Sehemu nyingi wanaiba tuu huwa hawashindi kwa katiba hii uwizi utaendelea tena mpaka Tume huru itakapokuepo..
 
Safi sana!

Waendelee tu na viburi na dharau zao wakizani Bombardier na treni ya umeme ndio kila kitu.


Sasa kama wakiacha kununua Bombardia si hali itakuwa mbaya kwa chadema kwa mujibu wa nadharia yako? Au ulitaka wasinunue ili chadema ikose ushindi?
 
Back
Top Bottom