Mkutano mkubwa wa na wa kihistoria wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani wa CHAMA CHA MAPINDUZI kata ya Sombetini utafanyika leo soko la Mbauda.Kipenzi cha watu,homa ya CHADEMA Mwigulu Lameck Nchemba Naibu Waziri wa fedha atafungua kampeni hizi pamoja na viongozi wengine wa mkoa.Mama yetu Mh.Chatanda atatema cheche.Baada ya hapo tutafanya maandamano mji mzima .Rasmi tumekuja kuizika CHADEMA Arusha.Kaa mkao wa kula nakuletea live yatakayojiri.
Uhalo huu Mkuu..
Join Date : 15th January 2014
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received
0
Likes Given
0
kutakuwa na malori mangapi? je a to z wameenda kazini leo au kiwanda kimefungwa ili kwenda kujaza uwanja...
A to Z leo kiwanda kitafungwa na wafanyakazi wote watatakiwa kuwepo kwenye mkutano mabalozi wa nyumba kumi kumi na familia zao na watakiwepo madereva boda boda watakuwepo kuchukua chao
Mkutano mkubwa wa na wa kihistoria wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani wa CHAMA CHA MAPINDUZI kata ya Sombetini utafanyika leo soko la Mbauda.Kipenzi cha watu,homa ya CHADEMA Mwigulu Lameck Nchemba Naibu Waziri wa fedha atafungua kampeni hizi pamoja na viongozi wengine wa mkoa.Mama yetu Mh.Chatanda atatema cheche.Baada ya hapo tutafanya maandamano mji mzima .Rasmi tumekuja kuizika CHADEMA Arusha.Kaa mkao wa kula nakuletea live yatakayojiri.
Sehemu SAVIMBI MWIGULU yupo huwa nakaa mbali,huyu mtu ni hatari ktk muktadha wa upumuaji.Ndugu zangu bado tupo kikaoni,nitawajulisha soon kilichojiri.Ila bado kuna shamra shamra hapa za kutosha Vijana wamependeza na sare zao za kijani na njano.Media zipo za kutosha
Mtajishtukia sana, lakini leo mwamba wa siasa za Tanzania na muarobaini wa CHADEMA atawapa dozi yenu!
Leo ni siku ya kupiga hela! Wenye toyo ni twenty, wa miguu ten! Lazima nitie timu na jezi yangu ya Yanga!
wewe mwenyewe usiye na aibu ndiyo utalinda kwa nguvu zako zote chama cha wezi ccm.kah,huna haya.nani alikuambia au kukudanganya ni chama cha wanyonge embu fafanua basi.