Habari toka kwa independent observer huko Karatu zinasema CHADEMA imechukua jimbo
Hizi taarifa zisizo rasmi zinatuchosha maana kila mtu anapost anavyotaka tu mpaka watu hapa hatuelewi hasa kinachoendelea
funga mdomo, unless utoe chanzo cha habari yako...! Mimi nipo Karatu sasa, na nimetokea Ngorongoro leo...! Na ninavyojua mimi CCM, particularly kwa upande wa raisi ni mbaya sana...! Japo siwezi kurasimisha bila takwimu au chanzo chenye kuweza kuaminika....!Habari toka kwa independent observer huko Karatu zinasema CHADEMA imechukua jimbo