Katika hali ya kushangaza chama cha CCM kimeshindwa kuzindua kampeni zake katika jimbo la Kalenga leo kama walivyotangaza awali.
Badala yake wamesema uzinduzi utafanyika siku nyingine.
Inadaiwa mbali na sababu nyingine mojawapo ni kutokana na mgombea wake kutokukubalika jimboni humo.
Hakuna Malipo wiki hii wameambiwa fedha yote inalipia tuisheni ya Kiswahili kwa ajili ya Godfrey Mgimwa ......wamegoma kuja JUKWAANI ...Hao wapo kwenye korido za Lumumba wakisubiria malipo ya wiki!
Godfrey analaana ya baba yake!!
Baba yake kafa kifo cha kutatanisha
Laana haitomuacha, baba yake kaitwa mzigo, watu hao hao Kijana God anaungana nao. (Kajitakia laana mwenyewe)
Mkuu ulitaka na picha, mbona taarifa inajitosheleza, ni kwamba nyinyiem mnaogopa kuanza kampeni kwa kuwa dogo hakubaliki, labda mtafanya kampeni za kitanda kwa kitanda, na hizi anazipenda sana Mwigulu Nchembamolemo,mbona taarifa haina chanzo wala haijakamilika kuweza kukaa kwenye hili jukwaa letu pendwa au zile pesa ulizokula za m4c bado zinakutia uchizi kula fedha za walala hoi maskin wa nchi hii hutakaa salama.
Wewe na hiyo avatar yako mna tofauti gani kuuliza swali hili kwenye jukwaa la siasa?hivi huyo mgimwa ni mtoto wa marehemu waziri
Unaweza kutuelezakuitwa mzigo na laana wapi na wapi?
molemo,mbona taarifa haina chanzo wala haijakamilika kuweza kukaa kwenye hili jukwaa letu pendwa au zile pesa ulizokula za m4c bado zinakutia uchizi kula fedha za walala hoi maskin wa nchi hii hutakaa salama.
Mkuu ulitaka na picha, mbona taarifa inajitosheleza, ni kwamba nyinyiem mnaogopa kuanza kampeni kwa kuwa dogo hakubaliki, labda mtafanya kampeni za kitanda kwa kitanda, na hizi anazipenda sana Mwigulu Nchemba
kuipigania ccm ni lazima uwe na moyo wa CHUMA ! Maana haikubaliki bali inalindwa na madaraka tu !