CCM yakusanya fisi ili kuboresha mahudhurio

CCM yakusanya fisi ili kuboresha mahudhurio

ajaahahahahahahahahahahahahahahhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hahahaaaaaaaaaaaaa. Aisee huyu mjamaa(fisi) usukumani huwa tunamuita baghesi
 
27.jpg




Idaya ya wanyamapori mko wapi? Ni halali kwa vyama vya siasa kuanza kukusanya wanyama kwenye mikutano ili kuboresha mahudhurio? Nini haki za wanyama hawa kufungwa minyororo na kulazimishwa kuhudhuria mikutano ya ccm? Hivi hii ni nini jamani?

Ccm wamekosa watu hata wakusomba kwa malori maana wengi wanakihama chama hicho kwa kasi kubwa.

Juzi imeshitukiwa kwenye kamchezo ka kulazimisha wanafunzi wa shule kwenda kujaza mikutano yao.

Sasa huu mbadala ya kukusanya fisi ni sahihi kwa mujibu wa haki za wanyama pori?

Idara ya wanyamapori iweni makini na ccm. Sasa mmeingiliwa na mkizingatia ccm ni maaarufu kuhujumu na kusafirisha wanyama kwenda nje ya nchi, msishangae kuona wamegundua soko la fisi mahala fulani.

Kaeni chonjo na ccm, hawana wema kwa mtu wala kiumbe chochote.



attachment.php



Na kwa mwendo huu wa fisi na haya tuyaonayo hapa, kwa nini wasikamatwe ccm wote na wahojiwe kwa mauaji ya Albino?

Hawa ndo wauaji wa Albino 100%.
 
Hapo hakuna ngoma yoyote wala mchezaji. Wanaonekana bayana Kinana na ccm wenziye wakiwa na audience na fisi,huku watu wengine wakishangaa mkutano wa aina yake. Acha kupotosha wewe, picha inajitosheleza!!!!!!


Uziii au upuuzi! ngoma za jadi nyie ambao hamjatahiriwa mnzishangaa!
 
Hapo hakuna ngoma yoyote wala mchezaji. Wanaonekana bayana Kinana na ccm wenziye wakiwa na audience na fisi,huku watu wengine wakishangaa mkutano wa aina yake. Acha kupotosha wewe, picha inajitosheleza!!!!!!
Kamanda Tabby usijibishane namikusanyiko ya fisi
 
haaahaaaahaaa.<br><br>CCM wazuiwe kuhudhurisha wanyamapori kwenye mikutano yao, hasa tembo na twiga
 
fisi wamehudhuria mkutano wa CCM?

Msulibasi;
Hapana; Fisi wamehudhurishwa kwa lazima mkutano wa Kinana na Nape. Wanachama wa ccm wameenda kata nyingine kumsimika m/kiti wa CDM aliyechaguliwa juzi kati kufungua tawi hapo.
Tatizo ni kuwa, wamekwenda kurudisha kadi za ccm ili wapewe za CDM. Pole Nape, angalia huyo fisi, akikuparua tu hata na kucha, mguu unakatwa. Hauponi donda lake. Jamani, ccm msijihatarishie maisha kisa kuvuta umati. Itajakuwa umauti kwenu badala ya umati wa mkutano. Shauri yenu
 
next time watakusanya mamba,nyangumi na viboko ili kuvutia wananzengo,; waTanganyika bado tuna long journey!!
 
Back
Top Bottom