CCM Yakalia kuti kavu Ukonga

Kama mbunge angekuwa makini japo kidogo tu, au makazi yake yangekuwa jimboni kwake huenda tungeona tofauti kidogo
Mfano alipoarikwa kwenye mkutano wa hadhara pale moshi bar wiki moja kabla alipitisha greda sehemu ndogo tu..
Maeneo ya bombambili alikataa katakata kupitisha greda kwa kuita ni wanafiki(nina ushahidi)
Katika visima vitano bombambili hakijachimbwa japo riport inaonyesha kimechimbwa badala yake kachimbiwa mtu binafsi kwa sh mil 2 jirani na sekondari ya kivule(kutofuatilia)
Toka aingie huyu mbunge mpk anatoka matatizo yataongezeka sana.
 
Naona makongoro atakuwa anakugonga.....na nyundo,hapa ni kizimba tu cha chadema kinamtoa roho na zile kura alizoiba kamuulize,nyambafu..
 

Attachments

  • 1002576_446828482082463_38255724_n.jpg
    62.9 KB · Views: 110
Mkuu, Naunga mkono HOJA..Tena kuanzia pale Lami imeishia hadi ufike Kona Moshi Bar, unatembea Dk 45... na na lazima upate dawa ya kutuliza Maumivu, manake hiyo nginjanginja usiombe....
 
Nyie endeleeni kuwafumbua macho tu, acha hivyo mpaka 2015 cdm ilichukue, sasa wewe unaropoka tena, anaweza akasikia akafanya maajabu kwa hii miaka miwili iliyobaki, walio lala usiwaamsheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?????
Ussiwe na wasi , kwa miaka miwili iliyobaki hawezi kufanya lolote na hata kufanya ni wajibu wake na tutamuuliza alicnelewa wap?
 
Mmekalia kuti limekauka kabisa Mwaiposya na team yako.
Jimbo liko nyuma kuliko majimbo yoote Dar hii imepelekea tuwakatae kabisa, yaani tunahamu kama uchaguzi ufanyike leo vile tuwabwage.
 

Huyu mbunge kwa kiasi kikubwa kwa vitendo vyake anavyofanyia wananchi ndiyo sababu kubwa ya CCM kuchukiwa kwa kiwango hiki Ukonga.
 
Mkuu, Naunga mkono HOJA..Tena kuanzia pale Lami imeishia hadi ufike Kona Moshi Bar, unatembea Dk 45... na na lazima upate dawa ya kutuliza Maumivu, manake hiyo nginjanginja usiombe....

Mkuu inaonekana wewe ni mwenyeji hasa kwani maeneo yote hayo hakuna hata bendera moja ya CCM inayopepea.

Huko ndiko ngome kuu ya Chadema iliko wananchi wakiamini ndicho chama kitakachowakomboa na mateso yao!
 
Mmekalia kuti limekauka kabisa Mwaiposya na team yako.
Jimbo liko nyuma kuliko majimbo yoote Dar hii imepelekea tuwakatae kabisa, yaani tunahamu kama uchaguzi ufanyike leo vile tuwabwage.

Huyu mama mbunge watu wanamfananisha na mpiga madili tu ambaye hakuwa na nia ya kuwa mbunge ili awatumikie wananchi.
 
Ki ukweli hali ya maendeleo katika jimbo hilo si ya kuridhisha. Mfano mdogo ni wa Kitunda Mwanagati ambako kwanza; hali ya barabara inasikitisha sana mfano ile ya kutoka Mwanagati kwenda Tandika kabla ya kufika kwenye lami panapoitwa njia panda ya Kitunda. Barabara hii ambayo ni kubwa na inatumiwa sana na wa kazi wa Mwanagati kwenda mjini na maeneo mengine kama Temeke Buguruni magala Nk ni mbovu imejaa mashimo na wakati wa masika ndio balaa, hakuna juhudi zozote za kuitengeneza ingawa ni kama nilivyo sema ni kubwa na ni muhimu sana na inatumiwa sana na wakazi wa mwanagati. Toka ilivyochongwa mara ya kwanza ndio basi mpaka leo hakuna anayeifikiria si cha mbunge wala Manispaa. Wenzetu katika manispaa ya Temeke wanajitahidi sana kutengeneza barabara zao. Lakini pia tazama barabara ya kutoka Kitunda kuja Mwanagati the same imejaa mashimo au kwa luhga nyepesi mahandaki. Upande wa Umeme nako balaa tuu, kuna eneo fulani la katikati kutoka njia panda ya magole mpaka CCM Mwanagati kama unafuata barabara ya kwenda tandika, eneo hili limeachwa hivi hivi kama kisiwa halina huduma ya umeme kwa muda mrefu japo kuna nyumba nyingi tu nzuri watu wamejenga, sehemu nyingine katika eneo hili la Mwanagati umeme unawekwa lakini hili linaachwa hivi hivi na sababu haijulikani. Watu wamejitahidi kufuatilia Tanesco mpaka wamechoka na kukata tamaa, maeneo mengine umeme umepelekwa na unaendelea kupelekwa kiujanja ujanja tu eneo hili pekee ndilo limeachwa kwenye kiza totoro kama mtoto yatima hakuna hata dalili za lini umeme utaletwa. Bila shaka mbunge yupo tu wala haonekani kujali.
 

Mkuu Tengeneza Asante sana kwa kuzidi kuweka mambo hadharani hasa katika maeneo unayotoka ya huko.

Huyu mbunge ni Janga kubwa.Sijawahi kuona mbunge wa hovyo kiasi hiki.Nimekuwa nikijiuliza mbona barabara za Temeke zinatengenezwa? Mbona barabara za Kawe na Ubungo zinatengenezwa? Mbona barabara za Segerea na Ilala zinatengenezwa?

Nilisema mwanzo kabisa sitalaumu serikali kwa hili.Kwa sababu kwanini barabara za majimbo saba ya Dar zitengenezwe mara kwa mara lakini iwe ni jimbo moja tu la Ukonga hazitengenezwi?

Binafsi nilijitahidi kwenda mpaka Jiji na manispaa nikitaka kujua kama Ukonga haiko Dar ama vipi.Nilipewa jibu moja tu likanitosha.

Kwamba kwenye vikao vya Halmashauri za Jiji na manispaa wabunge wa majimbo na madiwani wao wanapiga kelele hasa na kueleza jinsi barabara za majimbo yao zilivyo na matatizo.Madiwani wanazuia hata bajeti za halmashauri mpaka matakwa ya majimbo yao yakubaliwe.

Wenzetu wa Ukonga madiwani na mbunge wake wao wanahudhuria vikao kwa ajili ya posho na kusinzia mwanzo mwisho.Wanachojua ni kuitikia Ndiyooooooo...!!!

Nilipopata jibu hilo niliondoka pale manispaa bila kuaga.
 
Last edited by a moderator:
Nnaish ukonga mie,tena kitunda sasa hlo kutembezwa umelsema wwa,achen uzush usio na mantnk,njooon 2015 muone mtakavokula mweleka.

Mie niko Moshi bar mkuu, ndio maana sielewi utetezi wako unatokea wapi! Anyways, kama kampeni yako ni kutetea hata yasiyo na utetezi, acha tukuache uendelee bwana coz hatujui unafaidikaje.
 
Nnaish ukonga mie,tena kitunda sasa hlo kutembezwa umelsema wwa,achen uzush usio na mantnk,njooon 2015 muone mtakavokula mweleka.

Mie niko Moshi bar mkuu, ndio maana sielewi utetezi wako unatokea wapi! Anyways, kama kampeni yako ni kutetea hata yasiyo na utetezi, acha tukuache uendelee bwana coz hatujui unafaidikaje.
 

sijua watu wa sisi em mnapata wapi kiburi cha kusema maji mmeyaleta nyie!!! kiukweli maji yanayotumiwa na watu wa ukonga kwa aslimia 85 yanspatikana kwa watu binafsi waliochimba visima vyao hakuna mkono wa rais mbuge wala diwani.......sasa wewe unaye unganisha maji la chama chako hauna hata aibu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…