CCM Yakalia kuti kavu Ukonga

Dina umemaliza kila kitu.Huenda alimtembeza Jimbo la Ubungo akadanganywa ni Ukonga.

Kitasa ww bet always upo nayo ndo maana wasema non sense,mie nmekaa ubungo miaka zaid ya 20,shida tupu maji hakuna,barabara mbovu,viz ndo usiseme,,,,njoo ukonga,hakuna shida ya maji kabsa n kuchagua wataka dawasco au maji ya kisima ts yo optn,barabara zpo poa compared to za ubungo uliokuwa populated muda mrefu kulko Ukonga sasa unasema kip labda?au mnadhan kwenda bungen na kushabikia chama chako ndo kuwa bora kiuchapakaz?~=±“{«£¥.
 
Last edited by a moderator:
umemweleza! Huku Sinza, Ubungo na hata Kimara hakuna maji kabisa, wao wameng'ang'ania jimbo jipya la Ukonga.
 
Hapo umesema uongo na ukweli. Uongo ni viongozi wa chadema kufanya kazi jimboni kwa karibu na wananchi. Kazi hizo wanazifanya usiku wananchi wasishuhudie au umeamua kudanyanya wananchi. Acha uongo wako. Kumbuka uongo ni dhambi. Ukweli uliousema ni kuhusu ubovu wa baadhi ya barabara lakini is zote. idd njema.
 
Utter Nonsense

naona ndio umejifunza kuitumia hiyo comment, unahangaika nayo kweli aisee...

Focus... focus... and focus, mengine tuachie ma typist wa JF

Maana hizi masks za social media zinatupa sana confidence ya kuachia mashuzi ya kila aina humu

You should know your enemy first before shouting about the colors and tools

SIntoshangaa CCM kuendelea kutawala milele iwapo upinzani Ukonga utategemea squirrels kama wewe
 

Ukweli sasa ni upi?

Kwamba Ukonga wanaishi maisha ya peponi?

Kwamba Ukonga barabara zake ni nzuri sana kipindi cha mvua?

Kwamba CCM inapendwa sana Ukonga kutokana na kazi nzuri sana inayofanywa na Mbunge Eugene Mwaiposa?
 
Pigeni chini hao CCM, asilimia zaidi ya 80 ya Wakazi kipunguni wanaweza uongozi. Hebu cheki nao
 

Utter Nonsense!
 
Pigeni chini hao CCM, asilimia zaidi ya 80 ya Wakazi kipunguni wanaweza uongozi. Hebu cheki nao

Ushauri mzuri sana utafanyiwa kazi na wahusika...

Kipunguni ndiyo kuna balaa hili la barabara mbovu sana ya kutoka Mombasa hadi Kwa Mkolemba kwenda Kwa Diwani hadi Bombambili.
 
Utter Nonsense!

hahahaaaa, endelea kuidilute hoja yako hapa na itapotezewa hivihivi kwa kukosa mashiko

i cn promise you that, you dont know what you are doing, wala hujui unachozungumza
 
Kuna vijana wamenunuliwa na CCM haumu wanapata posho kwa kuzorotesha juhidi za CDM, ila hawataweza katu.
Kanda ya ziwa CCM ishakufa, tushawtokomeza kabisa na wao wanatambua hilo.
Muda na saa ya CCM kufa umefika, hata iweje hawawezi kupingana na wakati. Kuongozwa na mijitu inayong'ang'ania madarakani toka miaka ya 1960 ujue kuna tatizo kubwa. Utadhani hakuna generation!!!!!!!!!!!. Greenwich
Peoplesssssssssssssss Power.
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa, endelea kuidilute hoja yako hapa na itapotezewa hivihivi kwa kukosa mashiko

i cn promise you that, you dont know what you are doing, wala hujui unachozungumza

Utter Nonsense!
 

Mkuu wangu spencer Hakika Fahamu kwamba watu wa Ukonga wanaishi maisha ya shida kama wako Jehanam!

Kilio kikubwa cha wananchi wa Ukonga ni ubovu wa barabara.Haingii akilini mtu anaishi Dar lakini analipa nauli ya daladala shilingi 1000/- kutoka kituo kimoja hadi kingine.

Ni uchuro kuona mtu anasimama na kutetea upuuzi huo.Tusipowajibisha wawakilishi wetu tuliowachagua wenyewe kwa kushindwa kutimiza waliyoahidi hatutakuwa na wa kumlaumu!
 
Last edited by a moderator:
u

wewe ni kiplate
 



ni kawe gani na ubungo gani? mjomba kisheli?
 

Acha hasira,mtoa mada yupo sahihi kabisa
Mimi naishi kivule kuna wakati tunatembea kwa miguu toka kitunda mpk kivule kwa kukosa usafiri kutokana ubovu wa barabara
MY TAKE CHADEMA ANZENI KUPASHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…