Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
- Thread starter
-
- #121
- Ok ngoja nijaribu kukuelewa vizuri na hoja zako mgando, 1. Mimi ni mmoja wa watu unaowapuuza sana humu jamvini, lakini umekuja kunijibu anyways, that is incredible ha! ha! ha! Yaaani thread zote humu za unaowaheshimu umeziacha na kuja kunijibu unayeniipuuza? Really? ha1 ha! ha!
-2. Nina Miaka 60, ok kwa hiyo ni mzee so sina akili sawa sawa? So now umeelewa ile hoja kwamba DR. Slaa mwenye miaka 75 ndio balaa zaidi, au? ha! ha! ha!, 3. Ni kweli nina-Socialize sana maana sio Crime, lakini siajwahi kunywa bia wala kuvuta sigara wala kunywa pombe katika maisha yangu so!, unaona hoja zako zilivyo mgando sana huna hoja! ha! ha! ha!
- Ukonga nina shamba na nyumba, so back off maana hujui unachokisema!!, ni majuzi tu nilikuwa huko nikaongea sana na Mbunge wa Segerea akanihakikishia kwamba Hela za bara bara ya Relini mpaka Segerea gerezani tayari zimetolewa so ni bara bara zote za Segerea na Ukonga, so naijua Ukonga kuliko wewe na mapovu yako empty!!
Le Mutuz
Which is which, Mwaiposa hausiki na Barabara za Jimbo la Ukonga au Jimbo la Ukonga lina Barabara nzuri? sikuelewi!
Akili yako inakutuma watu wooooote, walikuja kwa garimoshi hapa Dar sio? kwani mlipokuja Dar mlikuta wanyama na misitu hapa? Ukiamua kutetea -----, basi tetea mpaka mwisho, kuna post yako umesema ukonga ina barabara nzuri kisha ukadai mbunge hausiki na barabara, nilipokuuliza which is which, unasema yote na habari za vijijini mie zinanihusu vipi? CCM kutoka au kutotoka yote hainihusu ni ya watanzania wote ila hili la Ukonga tunamtoa 2015 peke yake.vyote
barabara ni mbaya sawa, na huko kijijini kwenu pia kuna barabara mbaya.. ila kwa kuongezea tu, mwaiposa hajengi barabara, mfumo uliopo hauko hivyo. unaweza hata kumuweka mbowe na bado barabara isijengwe
cha maana ni kuitoa ccm yote madarakani na sio mwaiposa pekee
usihangaike na akili yangu, kuwa busy na uwezo wako wa kuelewaAkili yako inakutuma watu wooooote, walikuja kwa garimoshi hapa Dar sio? kwani mlipokuja Dar mlikuta wanyama na misitu hapa? Ukiamua kutetea -----, basi tetea mpaka mwisho, kuna post yako umesema ukonga ina barabara nzuri kisha ukadai mbunge hausiki na barabara, nilipokuuliza which is which, unasema yote na habari za vijijini mie zinanihusu vipi? CCM kutoka au kutotoka yote hainihusu ni ya watanzania wote ila hili la Ukonga tunamtoa 2015 peke yake.
vyote
barabara ni mbaya sawa, na huko kijijini kwenu pia kuna barabara mbaya.. ila kwa kuongezea tu, mwaiposa hajengi barabara, mfumo uliopo hauko hivyo. unaweza hata kumuweka mbowe na bado barabara isijengwe
cha maana ni kuitoa ccm yote madarakani na sio mwaiposa pekee
usihangaike na akili yangu, kuwa busy na uwezo wako wa kuelewa
Ukimaliza hayo tafuta maisha ya familia, kama utakua umefanikiwa na hilo basi endelea ku-type humu ilimradi siku ziende
hatulingani kwa chochote kile

ina maana hadi leo ulikua hujajua kuwa mie mpiga porojo humu, hili jamvi yakhe, twapiga porojo na kujifunza watu wanaishijeAfadhali sasa umejionyesha wazi.
Kumbe wewe ni mpiga porojo tu na huenda hujawahi kufika Ukonga.
Nakushauri siku moja tembelea Ukonga ukutane na wana CCM wenzako halafu mtetee huyu mbunge ndipo wanaCCM wenzako watakapokuchapa vibao hadharani.
Hapa tunajadili maendeleo ya Ukonga wewe unaleta hadithi za Alfu Lela Ulela!
ina maana hadi leo ulikua hujajua kuwa mie mpiga porojo humu, hili jamvi yakhe, twapiga porojo na kujifunza watu wanaishije
If you want kuweka hoja ya kuondoa ccm ukonga weka vizuri na usimame kulinda kura, sio kuwa typist tu humu.... na unapojenga hoja jenga hoja sio ushabiki; juma nature alishawaambia, pigeni kelele za lami, yeye anataka kujua nyumbani watakula na kulala??
anyway, wacha tupige porojo tu, maana wenye nia na jimbo wameshasimama na vikao vinaendelea kama kawa kuitoa ccm (wakati wewe focus yako ni Mwaiposa)
una Shahada ya tatu ya UJINGA
Maendeleo jimbo la ukonga kwa sasa yako wazi na yanaweza kupingwa tu na watu wasiotaka kufanya tathmini ya ukweli. Ni chuki tu dhidi ya CCM kwa wengi wenu humu.
ina maana hadi leo ulikua hujajua kuwa mie mpiga porojo humu, hili jamvi yakhe, twapiga porojo na kujifunza watu wanaishije
If you want kuweka hoja ya kuondoa ccm ukonga weka vizuri na usimame kulinda kura, sio kuwa typist tu humu.... na unapojenga hoja jenga hoja sio ushabiki; juma nature alishawaambia, pigeni kelele za lami, yeye anataka kujua nyumbani watakula na kulala??
anyway, wacha tupige porojo tu, maana wenye nia na jimbo wameshasimama na vikao vinaendelea kama kawa kuitoa ccm (wakati wewe focus yako ni Mwaiposa)
UMEONA EEH, WATANZANIA TNAWACHUKIA CCM C KWA UONGO WA AHADI ZAO TU ZA 2010 BALI PIA KWA UFISADI PIA UHUJUMU WA UCHUMI WETU, ONA MATENDO YA KATIBU MKUU KINANA JINSI ALIVYOLETA UGUMU WA KUPAMBANa NA UJANGILI
Huyo kinana c mpeleke mahakaman?we usilishwe Sumu na wanasiasa njaa ukaimeza huku ukjua unamaziwa kwenye Kopo shtuka,Knana he z innacent dats y huon mtu akipeleka pua yake mahakaman.....wanashindwa kuwasue kina Ndesamburo wenye vitaru vyao huko wanamkimbila jus an agent wa meli?nonsense.
Mmh ndugu, una hakika na usemacho? Inawezekana mama Mwaiposa alikutembeza kwenye jimbo la jirani.