CCM Yakalia kuti kavu Ukonga

Mkuu umempa jibu mwafaka kabisa.

Acha udaku ww,ubungo kunanini!maji mnapata mara 2 kwa mwez napo mwakata jisifia,barabara ya kwenda Kibangu,makubur,darajan na kwingneko iko ktk khal gani?pale darajan lile dampo n mahala pake?,acha kushadadia vitu usvovjua ww,
 
Kiongozi yeyote alie choka kifikra nakuishiwa point ukimuelezea ukweli ua anang'aka kwa hasila nakufoka badala ya kujibu alivo ulizwa.nyinyi amuwaoni makupe ccm wanavo ambiwa ukweli na kung'aka kama mbwa alie pigwa kwao najiwe kwakujikaza anabweka kwa asila ili asaidiwe ndo ccm wanaongea kwa asila eti sisi wananchi tuwaulumie watakufa na BP 2015 pipoooz kaza buti tunaelekea kwenye ushindi. Wagalika
 
Ni suala la kujipanga na kuweka mikakati ya kueleweka maana yule mbunge wa segerea a.k.a mwizi wa kura 2015 anarudi jimbo la ukonga.
 
Utahangaika sana kwa Porojo zako lakini nikuhakikishie wananchi wa Ukonga si wajinga kama unavyodhani.

Huoni hata aibu kutetea jimbo ambalo kipindi cha mvua hakuna hata barabara moja inayopitika?

Nyie ndiyo walamba viatu vya wabunge wa CCM ambao mnahemea beer na nyama choma halafu hamuwaambii ukweli matokeo yake CCM inachukiwa kila kona ya Ukonga.
 
Leo nadhani Mwaiposa itabidi akuongezee bili ya beer na nyama choma.

Mwambie mbunge wako ajitokeze afanye mikutano na wananchi. Huoni hata aibu kutetea upuuzi.

Nikuhakikishie kwa jinsi wananchi wa Ukonga walivyochoka wako radhi kupigia kura jiwe kuliko CCM uchaguzi ujao.Mark my words!
 
Acha udaku ww,ubungo kunanini!maji mnapata mara 2 kwa mwez napo mwakata jisifia,barabara ya kwenda Kibangu,makubur,darajan na kwingneko iko ktk khal gani?pale darajan lile dampo n mahala pake?,acha kushadadia vitu usvovjua ww,

Matusi yako hayawasaidii chochote wananchi wa Ukonga.Sana sana yanakuonyesha usivyo mtu makini.

Hapa tunajadili matatizo makubwa yaliyoko Ukonga mpaka imefikia mahali mbunge wa Ukonga hathubutu kufanya mkutano wowote wa hadhara.

Unaeleza ubovu wa barabara za ubungo sasa zinasaidiaje kutatua ubovu wa barabara za Ukonga?

Kila leo tunamsikia Mnyika akipigia kelele matatizo ya Ubungo mbona huyu mbunge wa Ukonga yeye amekuwa mbunge wa kula Posho tu?

Wewe ni mtu gani usiyeguswa na shida ya barabara za Ukonga kipindi cha mvua? Tena hapa wala sitalaumu serikali bali nitalaani kuwa na mbunge asiyejua wajibu wake na madiwani wa CCM ambao kazi yao ni kunywa beer tu na nyama choma.

Fahamu kwamba utapeli wa kisiasa wa huyu mbunge na madiwani wa CCM ndiyo umeipa nguvu kubwa Chadema kiasi kwamba ndiyo wanaoshirikiana kila kitu na wananchi hasa katika kipindi hiki cha shida kubwa ya barabara.
 
Umeeleweka mkuu...
 
Ni suala la kujipanga na kuweka mikakati ya kueleweka maana yule mbunge wa segerea a.k.a mwizi wa kura 2015 anarudi jimbo la ukonga.

Mkuu usihofu.Ukonga wananchi wameichoka CCM na wanaamini kila mtu wa CCM atakuwa sawa na huyu mama ambaye ameshusha kabisa hadhi ya Ubunge.
 
Jimbo la kawe,kwa shibuda,kwa wenje,kiwia,hai kwa mnowe,arusha kwa lema huko mmefanya nini.
 
Ni majimbo machache yanayoshiliwa na magamba yana maendeleo
 
Ni majimbo machache yanayoshiliwa na magamba yana maendeleo

Angalau jimbo la Deo Fulikunjombe la Ludewa lina mtu anayetetea wananchi.

Karibu wananchi wote wa Ukonga hawamjui hata kwa sura mbunge wao.
 
Maendeleo jimbo la ukonga kwa sasa yako wazi na yanaweza kupingwa tu na watu wasiotaka kufanya tathmini ya ukweli. Ni chuki tu dhidi ya CCM kwa wengi wenu humu.
 
Mmh ndugu, una hakika na usemacho? Inawezekana mama Mwaiposa alikutembeza kwenye jimbo la jirani.
 
Maendeleo jimbo la ukonga kwa sasa yako wazi na yanaweza kupingwa tu na watu wasiotaka kufanya tathmini ya ukweli. Ni chuki tu dhidi ya CCM kwa wengi wenu humu.

Mkuu nataka uorodheshe walau mambo matano tu aliyofanya mbunge Mwaiposa.

Pili tuelezee hali ya barabara za Ukonga kipindi cha mvua.
 
Mmh ndugu, una hakika na usemacho? Inawezekana mama Mwaiposa alikutembeza kwenye jimbo la jirani.

Dina umemaliza kila kitu.Huenda alimtembeza Jimbo la Ubungo akadanganywa ni Ukonga.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…