CCM Yakalia kuti kavu Ukonga

Ni Ukweli mchungu sana kwa sisi wanaCCM hapa Dar.
Iwe isiwe 2015 majimbo ya Ukonga na Segerea tutayapoteza kwa aibu kubwa sana. Mpaka sasa sioni wapi pakutokea kwa CCM.
 
Alitoka CCM sasa hivi yupo Vinega lile kundi la kutukana la Sugu, anauwezo mkubwa tu elimu yake sawa na mwenyekiti wa taifa ila yeye matokeo yake yamemzidi kidogo mwenyekiti maana ana division iv point 31

Hahahahahaaaaaa umeenda nje ya mada mkuu Nduka
Matokeo ya sogy pale jiteute kumbe unayajua?
Sasa swala la mwenyekiti amekujaje hapa.
 
Last edited by a moderator:
Ungeanza kwa kuachana na tabia za kutumiwa kwanza ndio ushughulikie maadili.

Hebu toa ushahidi ninatumiwa na nani?

Wewe matusi uliyotukana juu ndiyo ushahidi dhidi yako.

Lakini tafadhali usiendeleze matusi kwani huwa watu wengi wanaamini watukana matusi wana upungufu wa akili.
 
Ni Ukweli mchungu sana kwa sisi wanaCCM hapa Dar.
Iwe isiwe 2015 majimbo ya Ukonga na Segerea tutayapoteza kwa aibu kubwa sana. Mpaka sasa sioni wapi pakutokea kwa CCM.

Nina bahati mbaya sana naishi jimbo la Segerea familia jimbo la ukonga
 
Hahahahahaaaaaa umeenda nje ya mada mkuu Nduka
Matokeo ya sogy pale jiteute kumbe unayajua?
Sasa swala la mwenyekiti amekujaje hapa.

Mwenyekiti ameingia hapa baada ya mdau kusema eti Soggy hana uwezo wa kuwa mbunge, ndio maana nikalinganisha uwezo wake kimasomo na mwenyekiti wa taifa wa CDM.
 
Wana Ukonga shtukeni, CCM ni vibaka na majambazi
 
Ni Ukweli mchungu sana kwa sisi wanaCCM hapa Dar.
Iwe isiwe 2015 majimbo ya Ukonga na Segerea tutayapoteza kwa aibu kubwa sana. Mpaka sasa sioni wapi pakutokea kwa CCM.

Ndugu yangu Tanganyika TANU wewe ni kati ya wanachama waaminifu wa CCM hapa Jamvini wanaosema ukweli daima.

Mungu akulinde kwa ukweli wako ingawa ni mchungu kwa wana CCM wenzako.
 
Last edited by a moderator:
Nina bahati mbaya sana naishi jimbo la Segerea familia jimbo la ukonga

kamtu33 kwani kuishi kwenye jimbo linaloongozwa na mbunge wa CCM ni kuwa na bahati mbaya?
Mimi nadhani ni bahati nzuri kwani pesa nyingi za miradi ya maendeleo zitapelekwa huko kwa kuwa serikali inayotawala Tanzania kwa sasa ni ya CCM.
 
Last edited by a moderator:
hii ni kweli kabisa mkuu,sasa kuna diwani mwingine wa jimbo hilo kata ya kipawa yaani nivichekesho tangia apate udiwani nadhani aliamia kijijini kwao anatokea kwenye kata yake kuchukua posho za vikao
 
hii ni kweli kabisa mkuu,sasa kuna diwani mwingine wa jimbo hilo kata ya kipawa yaani nivichekesho tangia apate udiwani nadhani aliamia kijijini kwao anatokea kwenye kata yake kuchukua posho za vikao

Kwa hakika Ukonga haina wawakilishi.Ni aibu tupu.
 

N ukonga ipi unayoiongelea ww,acha kuropoka vtu usivovijua ww,,,,,,ukonga ipo shwari kabsa na sisi ndo wakaz wa ukonga na ndo wapiga kura sasa ww fanya ziara njaa yako uwaongopee vichaa mbuz wenzako,,,mAma bdo anaushawish mkubwa jimbon kwake,kupiga kelele jukwaan sio utendaji kaz huo,hatuchagui mtu anaelezea mapungufu,tunataka mtu anaelezea strategz atakazozitumia kuleta chachu ya maendeleo jimboni.
 

Matusi hayatawasaidia kukubalika popote Tanzania ya leo.

Mlitukana matusi Arumeru mkaambulia patupu.Mkatukana matusi Arusha mkatoka kapa.

Kwa hiyo hata haya matusi yako yanazidi tu kuonyesha upeo wenu.

Nakushauri msome mwanachama mwenzako wa CCM TanganyikaTANU alivyowapa ushauri.
 
Last edited by a moderator:

Unaishi ukonga kata gani ndugu! Ukonga ndilo jimbo la mwisho kabisa kimaendeleo kaw jiji la Dar, ndilo jimbo ambalo barabara zake kwa 90% hazina ubora, si lami si kifusi, tazama wakazi wa kitunda wataabikavyo kurudi majumbani mara mvua zinyeshapo, wakazi wa Moshi bar vilevile wanavyovunjika viuno wakiwa ndani ya magari, ishu maji sizungumzii kabisa maana kwa kijana wa miaka 18 sasa hivi nadhani hajawahi kukutana na maji ya Dawasco jimbo hili tangu azaliwe!
Kifupi Eugene amepoteza jimbo na ndio maana anaona haya hata kukutana na wapiga kura wake!
 

Acha longolongo wewe. Mama mwaiposa ana strategy gani zaidi ya kuwaandalia mabonanza wanaccm ili baadae mkale mitori na supu za makongoro!? Anaogopa nini kuitisha mikutano ya hadhara ili awasikilize wananchi?
Mwaka jana daraja la mongolandege lilivunjika lakini ni sisi tuliosimamia na kuwasiliana na mhandisi wa manispaa ya Ilala hadi likajengwa. Mbunge hakuonekana hata mara moja kuja kusaidiana na wapiga kura wake kujinasua na kukosa kivuko.
 

Asante mkuu kwa kuzidi kuweka wazi matatizo ya Ukonga.

Kwa kweli huwa nashangaa hata vyombo vyetu vya habari kushindwa kupigia kelele ubovu wa barabara za Ukonga.

Mwaka huu mwanzoni nilikuwa ninaenda kusalimia ndugu maeneo ya Bombambili kipindi hicho kulikuwa na mvua.

Nilipanda daladala kutoka Mombasa hadi Moshi Bar shilingi 1000/- Kutoka Moshi Bar hadi Kwa Diwani shilingi 1000/- na kutoka Kwa Diwani hadi Bombambili shilingi 1000/- Jumla kwenda na kurudi nikatumia shilingi 6000/- .

Kweli utaamini Jimbo hilo liko DSM na lina mbunge au Tapeli wa kisiasa tu?
 

Asante sana Mwita Maranya.Hata hivyo wananchi wa Ukonga wanapaswa kujilaumu sana kwa kuchezea jimbo lao na kutoa Rehani kwa makanjanja wa kisiasa.

Songeni mbele kusaidia wananchi na hiyo ni Credit kubwa kwa Chadema.

Kwa kweli ukuaji wa Chadema Ukonga unatia moyo sana.Tembelea maeneo ya Machimbo,kwa Mkolemba nk kote huko ni bendera za Chadema zinapepea mpaka inafurahisha kupitiliza.
 
Last edited by a moderator:
Jimbo la Mhe. Mnyika likoje
utawajua watu wanaofikiri kwa matege.. Hivi Utalifananisha jimbo la ubungo na lolote hapa Tanzania?, usifananishe Mlima na kichuguu sisi tunaokaa ubungo tunamwelea sana Mh Mnyika kuliko wewe uliokaa jimbo la Pinda mimi nasema wapigwe tu
 
utawajua watu wanaofikiri kwa matege.. Hivi Utalifananisha jimbo la ubungo na lolote hapa Tanzania?, usifananishe Mlima na kichuguu sisi tunaokaa ubungo tunamwelea sana Mh Mnyika kuliko wewe uliokaa jimbo la Pinda mimi nasema wapigwe tu

Mkuu umempa jibu mwafaka kabisa.
 

Ndo maana nakwambia waongea vitu usivovijua ww,njoo kitunda mwanagati kama hutokuta bomba la dawasco,na kwa taarifa yako miongon mwa majimbo bora dsm kwa upatkanaj wa maji safi ukonga lipo,n wapi unaskia kuna shida ya maji ukonga,npo kitunda n barabara ipi isiyokuwa na ubora?leta za Kawe,ubungo kuelekea kibangu,maziwa,leta jimbo ya segerea,,,,,acha kuongea vtu kwa msukumo wa itkadi yako so far wanaukonga ndo wapigao kura sion 7bu yako ww kukata mauno ngoma ya jirani.
 
Mkuu umempa jibu mwafaka kabisa.

Unasema hata vtu usivovijua ww,Barabara ya kutoka RiverSide kwenda Kibangu iko vipi?Makuburi je,,,,,Maji nayo mnasema nn mpaka mwamlilia wazir na maandamano,,,tembea ukonga yote ukikuta kuna shida ya Maji ujue kunawalakin myb diwan yupo wa CDM hafanyii kaz wananch wake zaid ya kuchangisha pesa kuwalisha Slaa,Mnyika,Mbowe na Lema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…