ccm yajipanga kuuteka msiba wa sajuki

ccm yajipanga kuuteka msiba wa sajuki

Lugeye

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2011
Posts
1,679
Reaction score
2,917
kama ilivyo kawaida ya ccm na vibaraka wake clouds,wamejipanga kuhakikisha wanasimamia taratibu zote za mazishi ya SAJUKI na kuhakikisha uvccm wahusike mwanzo mwisho kuratibu shughuli nzima badala kuachia familia waamue maaumuzi yao baadhi ya makada wa ccm wameanza kua karibu na familia hii ambayo ilikuwa inahangaikia mil 20 tu ili akatibiwe india lakini walikuwa busy ila leo ndo wanajifanya kua karibu baadhi ya wananchi na wadau wameshangaa utitiri wa viongozi wa ccm na serikali kuanza kumiminika baada ya msiba lakini alipokua MUHIMBILI hakuna hata kiongozi mmoja aliyemtembelea

Source:mimi mwenyewe niko msibani hapa
 
Fukuza kabisa hao , waache kabisa huo upuuzi wao ,walikuwa wapi wakati wa kuuguza ? Duh ! Hicho chama sasa kimekuwa Uchuro mkubwa sana . Shame !
 
si ndo apo mtu kala madawa yake mwenyewe katibiwa fasta ila sajuki kateseka ki nomaaa
 
Never Miss!

15.JPG
 
Afadhali wateke. Jk anatoa ubani sh ngapi, mkewe marehemu anahitaji mtaji japo atoe movie moja!
 
kama ilivyo kawaida ya ccm na vibaraka wake clouds,wamejipanga kuhakikisha wanasimamia taratibu zote za mazishi ya SAJUKI na kuhakikisha uvccm wahusike mwanzo mwisho kuratibu shughuli nzima badala kuachia familia waamue maaumuzi yao baadhi ya makada wa ccm wameanza kua karibu na familia hii ambayo ilikuwa inahangaikia mil 20 tu ili akatibiwe india lakini walikuwa busy ila leo ndo wanajifanya kua karibu baadhi ya wananchi na wadau wameshangaa utitiri wa viongozi wa ccm na serikali kuanza kumiminika baada ya msiba lakini alipokua MUHIMBILI hakuna hata kiongozi mmoja aliyemtembelea

Source:mimi mwenyewe niko msibani hapa
acha ujinga,kwani wakienda kwenye msiba kunashida gani! usilete siasa kwenye mambo ya kijamii
kama vp na wewe vaa magwanda yako uuteke msiba!
hapo kwenye red wewe ulienda kumuona au kumuombea apone haraka?
 
CCMa wakiamua wanatafuta cheap
:drum:
 
Siku zote ccm ni wa2 wakujipendekeza maana wanajua hawakubaliki.
 
Inaelekea wanapenda zaidi misiba kuliko kujenga hospitali na kulipa vizuri madaktari ili wananchi wapate huduma za uhakika hapa hapa.

Pia inaelekea wanapenda misiba wakidhani ndio inawasaidia kujenga chama chao
 
Back
Top Bottom