CCM yajikanyaga kuhusu jimbo la Arusha Mjini!!

Kwa hali ninayoiona hapa Arusha, hata CCM wangeamua kumsimamisha Baba Wa Taifa kama mgombea wao endapo angekuwa angali hai, kulirudisha hili jimbo bado ungekuwa mtihani!

:smile-big: cdm nitawaona kweli wana nguvu zaidi ya ccm kama wataweza kuiteka monduli 2015..ngome ya lowasa. Wakiweza kuwa convince wamasai wapigie kura cdm then nitawa salute
 
Kweli huyu mama kalewa tena kalewa ulanzi, Arumeru alisema hivìhivi tukadhani yaweza kuwa kweli maana lilikuwa jimbo lao, sasa anaongelea Arusha kweli kalewa gongo, sijui hata hizi habari kazitoa akiwa wapi maana kama angesikika leo tungekuwa tunaongea habar nyingine juu yake.

Anafanana na yule waziri wa habari wa enzi ya Sadam hussein wa Iraq ambaye ilikuwa kutoa za propaganda za uongo ili kutoa matumaini yasiyokuwepo kabisa. Hajui kabisa kusoma alama za nyakati.
 
Back
Top Bottom