CCM yaitisha press conf. Bungeni Dodoma sasa hivi

CCM yaitisha press conf. Bungeni Dodoma sasa hivi

COSTOMER

Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
70
Reaction score
9
nahisi yanayoenda kuongelewa huko ni yale yaliyokuwa yakikisiwa na wengi kuwa kunamawaziri wamejiuzuluuuu ngoja tuyasikieeeeeeee!!!!!
 
tunataka kuona hatua zinachukuliwa na sio porojo!
 
naomba niwafahamishe kuwa wabunge 4 wa ccm wamejiuzuru...chami, mponda, mkullo na nundu....sasa wanajitayarisha kulifahamisha taifa rasmi, Wabunge wa CCM wako kwenye kikao chao cha chama kabla ya kuja kwenye bunge ili itangazwe rasmi.
 
Idadi haijatimia ya mawaziri wanaopaswa kujiuzulu.
 
Wakijjiuzulu nawapa zawadi ya kito moto kila mmoja ili wakasherehekea kujivua gamba. Walioghushi shahada wanangoja nini wakiongozwa na Lukuvi mwenyewe?
 
Ngeleja je na Malima? Yaani wao wamebania tu wenzao wanakaangwa!
 
Ngeleja je? waanze na mawaziri wamalizie na Wakurugenzi wa bodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzzzzzz lukuki! hawa ndio wanalitafuna taifa kwa kujichotea pesa kama waliweka. Spika upo hapo hahhaah kibarua kitaota nyasi karibuni maana mkulu atalivunja bunge muda si mrefu...naipenda hiiii
 
Wanafaa kujiuzulu wote walio banwa kwa kashfa kwa namna moja ama nyingine sio hao tu na sio tu kujiuzulu pia wafanyiwe uchunguzi wa kwanini walishindwa kazi.....
 
Ni kweli kabisa lazima lieleweke . Hapo bado idadi haija kamilika.
 
Back
Top Bottom