CCM yaishika Pabaya CHADEMA-RAI



Huenda mnatumika na mafisadi, sasa utafiti huo mlifanyia wapi? AIBU AIBU Kubwa RAI. UMMA WENYE NGUVU HUTOA MATOKEO YENYE NGUVU YA UMMA, ARUMERU MASHARIKI, ARUSHA NA MOSHI Hongereni Sana
 

Siasa zenu za kubwatuka bwatuka pasipo kujua mkisemacho, kiburi, dharau na majigambo yasiyo na msingi ni moja ya sababu za anguko lenu. Bwana mdogo siasa haziendi hivyo, jipange utapotea wewe. Acha siasa za umbea na kujichekesha pasipo hoja! ONA SASA AIBU LEO SIJUI UTAJIFICHA WAPI. CHADEMA NDIO TUMAINI JIPYA!
 


Mbona ume "Makamba-Tarime sasa?" Yaani ulifikiri Arumeru ni Igunga sio?Umewadandia mmijimama mingapi huku?Sasa Bush Kachukua nchi,kwa kuanzia kaanza na Kigamboni,na Arumeru Chadema kashinda.Matokeo yake wewe,Nape,Lusinde mmetoka Nduki usiku wa manane mmemuacha Kijana wa watu peke yake,Aibu yenu aibu yake?Kwa kuwa ninyi ni wakongwe kwenye gemu,Walahi wa Bakwata,AIBU YAKO NCHEMBA,NAPE,BEN & Lusinde wa matusi!!!!Hongera sana Sioi kwa hekima na Busara,kuishi Kenya kumekusaidia,mimi binafsi nimekufurahia kushikana mikono na mshindi,lakini na hali uliyoionyesha ya kutotetereka pamoja na kushindwa.Pole Meru-United na kocha wenu Nchemba,Kucheza na Barcelona-CHADEMA yahitaji moyo, hasa Refa anapokuwa sio BAKWATA na Kibendera Hadija Kimario gemu inakuwa ngumu sana
 
hahahahahahahahahah!!!mlishajiroga wenyeeeeweeeeeeeeeee!!haya jilaumuni..mlishaambiwa mechi ni dakika 90 uwanjani sa nyie mnatabiri ikiwa ni dk ya 1??...LAKUCHUMPA BAAAAAAAAAB!!!!
 
Haya mleta maada,tuambie uchunguzi wa rai kama ni kweli? Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez.
 
tafiti zingine lazima zikidhi matarajio ya anaekulisha wala na hupoteza integrity ya mtu makini.ona sasa kilichotokea arumeru.pwaaaa
 
Prince Bagenda kapelekwa pale kusimamia propaganda za kina EL na RA,wanafikiri kwa matumbo badala ya kichwa, hawalipwi mishahara bado wanalamba miguu ya mabwana zao.

Hiyo ilikuwa ni mkakati wa kubadilisha mind set ya wananchi wa Arumeru, lakini kwa kuwa huwezi badili utu wa mtu, wameangukia pua!!!!

HONGERA CDM
 
Mwandishi na mtafiti wa hii habari aje hapa atupe matokeo ya huu utafiti wake na kama walibashiri vyema
Maana sio vyema mtafiti ambaye hakufanya utafiti wake kwa makini ashindwe kuja kusema ilikuwaje mambo yakawa kinyume
 
Njemba nawe unatumia nini siku moja moja........................aIBUUUUUUUUUUUUUUU
 
Tatizo tanzania science siyo objective ni subjective purely. hivyo ukisikia utafiti wa kisayansi lazima kwanza ujiulize sayansi ipi?

kwani hata kuchakachua utafiti ni sayansi pia ya aina yake
 
sayansi bongo? njaa zimewajaa watu majibu yatapatikana kweli ya KISAYANSI,
kisayansi,kiintelijensia teeeeeeeeheeeeee kazi kweli kweli.
 
hivi kumbe gazeti la Rai lipo, mi nilidhani ndio linaitwa Raia Mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…