CCM yaibuka kinara umeya jijini tanga

CCM yaibuka kinara umeya jijini tanga

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
543
Reaction score
652
Katika kile kinachoonesha kukubalika kwa chama cha mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa umeya baada ya mgombea wake sele boss kuibuka mshindi dhidi ya Mgombea wa cuf .Selle boss alipata kura 19 dhidi ya 18
 
Ujue Saa Nyingine Uwe Unatumia Akili Kidogo.hivi Ukawa Mmeshinda Kata Ngap,mpaka Useme Uhisi Kuna Wengine Wamenunuliwa?

Wew kilaza nini. Ukawa wana kata 20 ccm kata 17 wew kilaza mvivivu wa kufikiri. Unasahau unafikiri uchaguz ulifanyika miaka mingi iliyopita wajati mi majuz tu
 
Waisome namba watu wanaonunulika hatuwataki kwenye uongozi; ccm hoyeeeee
 
Katika kile kinachoonesha kukubalika kwa chama cha mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa umeya baada ya mgombea wake sele boss kuibuka mshindi dhidi ya Mgombea wa cuf .Selle boss alipata kura 19 dhidi ya 18

Kuna raha gani kushangilia ushindi wa wizi?
 
Wew kilaza nini. Ukawa wana kata 20 ccm kata 17 wew kilaza mvivivu wa kufikiri. Unasahau unafikiri uchaguz ulifanyika miaka mingi iliyopita wajati mi majuz tu

Kwanini usifikirie kuwa UKAWA wao kwa wao wanaona hawatoshi na ndio imepelekea wamuunge mkono mgombea wa CCM? Muda mwingine tuwe positive.
 
Sioni kama kuna tatizo. Kama wanaona anauwezo wa kuongoza zaidi ya CUF kwa nini asichaguliwe. Msitake iwe kama bungeni ambapo CCM hupitisha hoja za ajabu kisa chama
 
Kuna raha gani kushangilia ushindi wa wizi?

Mitazamo ya kifedhuli. Kwanini usiwaze ushindi wa kistratejia. Hata wangalikuwa ukawa wako 21 na Ccm 12 kama mpango wa ushindi umeandaliwa hao wengi waweza wapigia wachache. Siasa akili KUBWA.
 
MATOKEO YALITANGAZWA SIYO.MKUREGEZ ALICHAKACHUA MATOKEO.AMETANGAZA VISE VESA.baada yakutangaza akatoroshwa napolice kwakumpakia kwnye gari yao.inaonekana niki2 iko plan. itv tarifa ya habari
 
Wew kilaza nini. Ukawa wana kata 20 ccm kata 17 wew kilaza mvivivu wa kufikiri. Unasahau unafikiri uchaguz ulifanyika miaka mingi iliyopita wajati mi majuz tu
mbona uwiano karibia unalingana,na kama mtu anauwezo kwanini asipewe aongoze??
 
Back
Top Bottom