mzalendo15
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,361
- 1,055
Hakika haya machungu wanayowasababishia watanzania ipo siku yatafichuka. kwa kweli inauma sana .
Kwanini usifikirie kuwa UKAWA wao kwa wao wanaona hawatoshi na ndio imepelekea wamuunge mkono mgombea wa CCM? Muda mwingine tuwe positive.
Sioni kama kuna tatizo. Kama wanaona anauwezo wa kuongoza zaidi ya CUF kwa nini asichaguliwe. Msitake iwe kama bungeni ambapo CCM hupitisha hoja za ajabu kisa chama
Katika kile kinachoonesha kukubalika kwa chama cha mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa umeya baada ya mgombea wake sele boss kuibuka mshindi dhidi ya Mgombea wa cuf .Selle boss alipata kura 19 dhidi ya 18
Fanya tathimini CCM ina madiwani wangapi na UKAWA wangapi ili ujue wepi wanakubalika
Kuna raha gani kushangilia ushindi wa wizi?
Ujue Saa Nyingine Uwe Unatumia Akili Kidogo.hivi Ukawa Mmeshinda Kata Ngap,mpaka Useme Uhisi Kuna Wengine Wamenunuliwa?
Kwanini usifikirie kuwa UKAWA wao kwa wao wanaona hawatoshi na ndio imepelekea wamuunge mkono mgombea wa CCM? Muda mwingine tuwe positive.
Mitazamo ya kifedhuli. Kwanini usiwaze ushindi wa kistratejia. Hata wangalikuwa ukawa wako 21 na Ccm 12 kama mpango wa ushindi umeandaliwa hao wengi waweza wapigia wachache. Siasa akili KUBWA.
Sioni kama kuna tatizo. Kama wanaona anauwezo wa kuongoza zaidi ya CUF kwa nini asichaguliwe. Msitake iwe kama bungeni ambapo CCM hupitisha hoja za ajabu kisa chama
sele boss anakubalika sana hata kwa wapinzani