B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
Ingekuwa ni Mbunge wa Upinzani au hasa hasa Chadema, haraka haraka tungeona UVCCM, UWT-Waziri wa Jinsia-Sophia Simba, na Jumuia ya wazazi wakijitokeza katika media kulaani na kuhusisha tukio hilo na chama cha upinzani kuwa ndio tabio zao hata mkiwapa nchi watawabaka na kuwaambukiza Ukimwi wake za watu, lakini sasa upepo umewaendea vibaya sana kwa sasa...
Bunge hasa hasa Spika mwanamke ameshindwa kumpa msaada mtoto yatima hata baada ya mtoto kwenda Dodoma-Bungeni kutoa taarifa ya kuomba msaada.
Sophia simba na Ummy mwalimu-wote mawaziri upepo umewavumia pabaya sana wanashindwa ku-act.
Ni wazi sasa kuwa kapuya kambaka, kamwambukiza ukimwi, nk. ni kiongozi wa kwanza kujulikana wazi kuwa anabaka watoto, na anawaambukiza ukimwi kwa makusudi.
Chadema-hasa hasa BAWACHA-Mpo wapi? toeni tamko kali la kulaani na kui-pressurise serikali ichukue hatua.
Mbakaji wa CCM-amekiri kuwa watoto wao ndio wanaojihusisha na madawa ya kulevya, serikali mpo wapi? au mpo hoi?
Msemaji wa serikali-Assah Mwambene upo wapi? Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu ipo wapi? kwa nini isimshauri Rais angalau itoe tamko la Mh. Rais kufedheheshwa na kuamuru vyombo vya Ulinzi kuanza uchunguzi mara moja!!
Ni dhahiri kuwa-CCM ni wabakaji kwani jamani kweli hata KINANA alipofuatwa alishindwa nini kumpigia Sophia Simba simu ili aje awasikilize hao watoto? sawa halikuwa la chama lakini ilitakiwa awape mwongozo wa wapi waende na wapate ushauri?
Tutegemee haya:
Kwanza NGO zisipokuwa makini na kuchukua hatua mara moja hili suala litaishia hivi hivi!
Tunajua viongozi wengi wa serikali wana-ukimwi kuanzia kwa bwana Nyumba hadi kwa Kapuya ila sasa wasiwaambukize watoto au watu wengine kwa makusudi!!