CCM yafurahia kapuya kubaka

CCM yafurahia kapuya kubaka

Kama kuna mtu anamjua yule jambazi aliyeagizwa akaue hao watoto lakini akawaonea huruma anipe contacts zake hata nimtumie buku. Yani Kapuya ana roho mbaya kuliko hata jambazi...!!!!

Na wewe unaamini contract killer, akifika kwa aliyetumwa kumuua anaanza story!
 
Sophia Simba , Anna Abdallah, Jenister Mhagama , Pindi Chana, Spika Makinda wote waliyajua haya mtoto alipofika bungeni na wakakuka kweli hii dhambi itawamaliza mpaka siku ya kiama
 
Sophia Simba , Anna Abdallah, Jenister Mhagama , Pindi Chana, Spika Makinda wote waliyajua haya mtoto alipofika bungeni na wakakuka kweli hii dhambi itawamaliza mpaka siku ya kiama

Halima Mdee hakuwepo Bungeni siku hiyo?
 
Dah! Tanzania hii na double standard kwa sababu tuu za ujinga wa itikadi.
Huku chini unakuta mtu anatupiwa tuu alegations zisizo na ukweli wowote lakini kwa sababu za majungu mtu anadhalilishwa na hata kufungwa jela. Lakini wenzetu kwa sababu wameshika mpini ndo maana wanaongea kwa mbwembwe ndo maana wanafanya watakavyo. Lakini Mungu si athumani
 
Sipati picha ingekuwa upande wa pili wa shilingi.Lakini iko siku yake!
 
Kama ni kweli Huyu jamaa kafanya hivyo.... aiseee Juma una Roho kubwa kama KABICHI.
 
kama kuna mtu anamjua yule jambazi aliyeagizwa akaue hao watoto lakini akawaonea huruma anipe contacts zake hata nimtumie buku. Yani kapuya ana roho mbaya kuliko hata jambazi...!!!!

aisee na mimi nitatuma msimbazi kabisa.
 
Kama kuna mtu anamjua yule jambazi aliyeagizwa akaue hao watoto lakini akawaonea huruma anipe contacts zake hata nimtumie buku. Yani Kapuya ana roho mbaya kuliko hata jambazi...!!!![/QUOTE Tuko, buku haitoshi, jamaa alitoweka na milioni 15 ya kapuya kama advance.buku hapokei.
 
Last edited by a moderator:
Ubakaji ipo kwenye ilani ya ccm,ndio maana hata kapt komba hajahojiwa mpaka leo siku ile usiku alivyomuita LULU police officers mess akiwa na kanumba
 
Kapuya ni serial sex offender amebaka wengi na kuwaambukiza ukimwi wengi wakitaka kujitetea atakuwa anawatishia kuwauuwa na kuwapoteza duniani wakati umefika sasa aende jela la siyo wananchi tuchukue jukumu la kumhukumu
 
Kama serikali yenyewe ni hii ya wabakaji, wakilindwa na huyo shetani kova, nashauri wananchi wenye hasira tulivamie hilo libakaji tuliue tena kwa kulichoma kwa petroli.
 
CCM mnatoa uvundo wa damu za watu jamani,yaani viongozi wote wa chama?mpaka serikali mmeamua kufumba macho eti kisa ni Kapuya ili mabinti zetu waishe? pesa mnawaibia walipa kodi ili mkawazike watoto wao kweli?

Hakika hii rahana na mtakwisha kama uyoga.
 
Kweli CCM inafurahia huoni hata mashabiki wake wanavyotetea ubakaji.

Niliwahi kusikia Kikwete akisema "anayeambukiza ukimwi kwa makusudi si mtu wa kuhurumiwa", nategemea tamko kali toka kwake.

ahahahaha... mbona yeye kikwete amekwisha waambukiza wengi au yeye huwa anawaambukiza "kwa bahati mbaya"???

Unafiki utatumaliza!!!
 
Back
Top Bottom