CCM yafurahia kapuya kubaka

CCM yafurahia kapuya kubaka

Kama kweli suala hili lilifikishwa BUNGENI na hakuna hatua za maana zilizochukuliwa basi ni wakati muafaka kwa Wabunge wa viti maalum kujitathmini, si tu Mama Sophia na Spika. Bunge limekuwa kama sehemu ya kuonyesha mitindo. Hatutawaelewa na haitatuingia akilini hili msipolivalia njuga. Jambo hili ni hatarishi kwenu wabunge wote wa viti maalum.

Halafu hawa hawa ndio wanapigania 50/50 kwa nguvu zote. Hao waliopo wanashindwa kumtetea mtoto mdogo anayeonewa kama huyo! Kwanza sijui hilo sakata liliishia wapi,maana kwa nchi hii ilivyojaa uharamia usije kuta huyo mtoto hata duniani hayupo tena.
 
Halafu hii ishu imeishia wapi aisee ? Mbona imezimwa kienyeji sana ?
 
Back
Top Bottom